Ni ya vyumba viwili na sebule na ina uwanja wa kutosha kujenga nyumba ya vyumba vinne ipo karibu na shule ya msingi kimwani bei ni sh 7000000/= vilevile mapatano yatakuwepo kwa mhitaji kwa mawasiliano piga simu hizi
0766908731
0787747425
0712275274
Chanika ipo wilaya ya ilala unafuata barabara iendayo pugu ukifika pugu kuna junction kuna road moja inayoendelea kwenda kisarawe bomani na nyingine iendayo kusini ndiyo iendayo chanika kabla ya kufika chanika unapita tazara railways, kigogo fresh, kinyamwezi, kipawa mpya, buyuni, masantula hadi chanika mwisho, nyumba hii ipo hapahapa chanika mwisho karibu na kimwani shuleni vile ni umbali wa km 1 kutoka barabara kuu ya lami kwa wale wanaouliza kuhusu wasiwasi wa kupigwa x hilo haliwezekani kwa sababu nyumba iko kwenye eneo huru na kwa wale wapenzi wa madafu kuna minazi minne ipo ndani ya eneo na yote inazaa karibuni sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.