Nyumba inauzwa bei ya kutupa

mluhila

Member
Nov 5, 2012
7
1
Wanabodi
nina nyumba yangu moja naiuza. Kwa kuwa ramani yake ni ghorofa moja,mimi nimeijenga mpaka kwenye slub (nimemwaga zege la juu) hivyo bado kumalizia ghorofa ya juu. Kibanda cha mlinzi cha kisasa kipo tayari. Ina hati miliki
nyumba ipo madale njia panda ya nguzo, ni hatua 20 kutoka barabara kuu
bei ni maelewano. Picha za ilipofikia nimeziambatanisha
kwa mteja serious asisite kuwasiliana nami kwa namba ya simu 0767 876086
 
Attachments

  • nyumba-mbele.JPG
    nyumba-mbele.JPG
    49.6 KB · Views: 433
  • nyumba-nyuma.JPG
    nyumba-nyuma.JPG
    46.5 KB · Views: 417
  • nyumba ya mlinzi.JPG
    nyumba ya mlinzi.JPG
    30.5 KB · Views: 444
Ok safi sana vipi waweza kutuwekea ramani yake na hata render kama unazo pia.
 
Good Work!!

Kwanini Unauza Hili Jengo Mkuu?

Kwa Aliye Serious Hili Jengo Siyo La Kuacha,.
 
Wanabodi
nina nyumba yangu moja naiuza. Kwa kuwa ramani yake ni ghorofa moja,mimi nimeijenga mpaka kwenye slub (nimemwaga zege la juu) hivyo bado kumalizia ghorofa ya juu. Kibanda cha mlinzi cha kisasa kipo tayari. Ina hati miliki
nyumba ipo madale njia panda ya nguzo, ni hatua 20 kutoka barabara kuu
bei ni maelewano. Picha za ilipofikia nimeziambatanisha
kwa mteja serious asisite kuwasiliana nami kwa namba ya simu 0767 876086
Bei ya kutupa ni ipi?tushawishi ili tukutafute kwa mazungumzo
 
Tangazo la kuuza umeweka public kwanini bei unafanya siri tena? Funguka humuhumu unauza shs ngapi utapunguza idadi ya simu za wanaotaka tu kujua shs ngapi unauza na utabaki na serious buyer tu.
 
Tangazo la kuuza umeweka public kwanini bei unafanya siri tena? Funguka humuhumu unauza shs ngapi utapunguza idadi ya simu za wanaotaka tu kujua shs ngapi unauza na utabaki na serious buyer tu.

Well said mkuu,.
 
Eeenh! Unaitupa kwa bei gani? hizi Siasa zinafirisi sana watu pale endapo wakakosa kura za kutosha... na ukija pata Ubunge pesa zako zitarudije ili ujenge Nyumba nyingine? na ungefahamu viziri Mawaziri mizigo wamejaaliwa kwenye kujipanga... utaumia... kwakuwa huwezi zikwa kwenye nyumba yako Uza tu ... Ponda mali kufa kwaja... tupe Bei... ila Madale Maji hakuna wape tahadhari wateja wako...
 
Back
Top Bottom