Nyumba inauzwa Arusha

Derimto

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
1,307
306
Nyumba kubwa nzuri ya Ghorofa Moja vyumba 4 na cha 5 ni masterbedroom min library na vingine muhimu vya ndani inauzwa kwa bei nzuri eneo la kwa mrefu karibu na Cet Garden mt.200 kutoka barabara kuu ya Moshi/Arusha kiwanja kina ukubwa wa hatua 35/35 imejengewa ukuta na getikama utaipenda ni PM tuongee bei ni maelewano ingawa haipungui 100 ml
 
unamuona huyo!? Kama atapenda tumuuzie lile jengo la tanapa kabisa pale majengo halafu wewe umepotea sana!
siwezi kuchukua jengo la tanapa-kutakuwepo na conflict of interest hapo baadaye.
 
habari yako wewe...............umeacha ile kazi pale kona ya barabara ..............nakwenda kuianglia nitakupigia tuzungumze bei
 
Nyumba kubwa nzuri ya Ghorofa Moja vyumba 4 na cha 5 ni masterbedroom min library na vingine muhimu vya ndani inauzwa kwa bei nzuri eneo la kwa mrefu karibu na Cet Garden mt.200 kutoka barabara kuu ya Moshi/Arusha kiwanja kina ukubwa wa hatua 35/35 imejengewa ukuta na geti kwa mawasiliano zaidi napatikana hapa 0784 326 778 bei ni maelewano.

Machalii wa AFGEM wameanza kuchoka fasta fasta ile mbaya.
Nasubiria waanze kuuza ma LX yao niwe dalali.
 
Unamuona huyo!? Kama atapenda tumuuzie lile jengo la TANAPA kabisa pale majengo halafu wewe umepotea sana!

Sijapotea nakimbiza shilingi...........

BTW:- namfahamu mtu alikuwa anazungumzia habari za kununa nyumba ngoja nimpigie then nitakutafuta.
 
Nimekusoma Kamanda wangu na bila shaka hiyo utaing'atoa muda si muda mi mwenyewe nahitaji sana lakini familia hawataki anga hiyo na ingekuwa Sakina nakwambia ningeivalia kiatu mpaka niichukuwe,,,,,,,lakini we tuendelee tu kuchati na siyo ajabu nikakuseach hewani baada muda.
 
weka bei elekezi,kwanini unauza? umefulia au ina mgogoro unataka kumuingiza mkenge mtu,ina title?
 
habari yako wewe...............umeacha ile kazi pale kona ya barabara ..............nakwenda kuianglia nitakupigia tuzungumze bei

Yaani pale niliuza sura acha tu mwanawane! Sikai tena nilichokuwa nawinda pale nilishamaliza ila siku hizi nakuona mitaa fulani ya barabara ya East Africa Hotel mwenyewe una haraka hebu nipandie hewani maana nilishapoteza namba za wadau
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom