Nyumba inatafutwa Mwanza

Hey

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
1,030
1,116
Nyumba inatafutwa Nyegezi, Mwanza au maeneo ya karibu. Vyumba angalau viwili (master) yenye fensi (au flat) maeneo yenye usalama.

Mwenye nayo ni PM namba zako.
 
Nyumba inatafutwa Nyegezi, Mwanza au maeneo ya karibu. Vyumba angalau viwili (master) yenye fensi (au flat) maeneo yenye usalama.

Mwenye nayo ni PM namba zako.

ipo California, sebule, jiko, stoo, vyumba viwili chini, master na chumba cha watoto juu, nyumba ya uwani ina garage, vyumba viwili na ofisi. nyumba zimeunganishwa na outdoor living ya kisasa, fully furnished. $800K, kama ni mnunuzi njoo PM.

Naiuza ili nijenge nyingine. Wanaoulizaga maswali ya kitoto stop.
 
Samahani I should have mentioned natafuta ya kupangisha sio kununua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom