Nyumba inapangishwa

Nov 25, 2013
56
9
Nyumba kubwa na nzuri inapangishwa ipo mikocheni ina vyumba viwili, kimoja na masterbedroom, jiko bafu na choo na sebule, maji ya uhakika, parking ya kutosha, ipo sehem nzuri sana
Bei ni shilingi laki nne na nusu kwa mwezi
Ukitaka kuiona wasiliana nami kwa sim 0716 85 06 95
Kama unataka kupanga nyumba hakika njoo uione hii ili uweze kufanya uamuzi wako
 
bila picha biashara haina mvuto uwez kuniambia mtu atoke mwanza kuja kuiona harafu arud mwanza.

ukiweka picha atajua aje kulipia moja kwa moja hasirud mwanza. yan aje dar jumla jumla
 
Nyumba kubwa sana na ya ghorofa inapangishwa eneo la mikocheni, ina vyumba 5 kimoja na masta yake, sebule, choo na bafu, jiko, swimming pool, eneo kubwa la nje la kupark magari, kuna mlinzi, mtu wa garden,geti kubwa, maji ya uhakika, standby generator, ni eneo lenye usalama wa hali ya juu, kwani wanaishi watu wenye uwezo, bei yake kwa mwezi ni dola 5000 kwa mwezi
Ukitaka kuiona hio nyumba wasiliana nami kwa sim. 0716 85 06 95.
Ni wakati wako kuishi kwenye nyumba ambayo hautakaa uisahau maisha yako yote kwani ni nzuri sana na iko eneo zuri sana
 
Dollar 5000 na mshahara sh ngapi?ama nafisadi ngapi serikalini?
 
Nashukuru sana ndugu zangu kwa ushirikiano wenu hio nyumba imeshapata mteja tayari, mungu awabariki sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom