Nyumba inapangishwa

lifelines

Member
Dec 16, 2009
51
0
Saalaam Sana,

Napangisha NYUMBA vy Vyumba vitatu iko UNUNIO BEACH . Kodi ni Shs 520,000 kwa Mwezi ,Maelewanbo yapo. Nyumba ina Vyumba Vinne,Sebule na Dining ,Jiko ,Korridor na Vyoo Vitatu kamili. Imezungukwa na UKUTA na kuna Parking ya Magari 4.
 
A recently developed modern property of four
bedrooms located in Ununio is available for rent.It is fenced and is within a very secure neighborhood.Rent is 400 US Dollars per month ,negotiable. Contact 0776702640
 
Mkuu huku ndiko wanakokuita Tegeta Ununio au kwingine? Naomba maelezo zaidi (maji, umeme, karibu na wapi, barabarani n.k) kuna jamaa yangu anatafuta maskani
 
mnhhh, XPIN tupe ramani ya huko UNUNIO ni wapi??
watu wanafurahi kweli au ndio WAMENUNA??
 
mbagala kuna nyumba safi na ya kisasa ina vyumba vinne vya kulala,dinning roon na sitting roon yaani iko full gharama yake ni tsh.250,000 kwa mwezi
sifa za mbagala:
-kuna barabara safi
-ni rahisi kufika mjini
-kuna shule nzuri zikiwemo international kuanzia kindergatten-advance
-kuna benki zote hivyo huwezi kupata shida yoyote ya kibenki
-kuna hospitali

karibu.
 
mkuu uko sawa kabisa
maisha bora kwa daslam yako mbagala, asikudanganye mtu yoyote!!.
 
Kumbe nyumba yangu ya tegeta naweza pangisha kwa dola 400 kwa mwezi??????
I good idea.
 
Saalaam Sana,

Napangisha NYUMBA vy Vyumba vitatu iko UNUNIO BEACH . Kodi ni Shs 520,000 kwa Mwezi ,Maelewanbo yapo. Nyumba ina Vyumba Vinne,Sebule na Dining ,Jiko ,Korridor na Vyoo Vitatu kamili. Imezungukwa na UKUTA na kuna Parking ya Magari 4.

kama umejenga huko, wewe ni mwenyeji, mkuu sijui unaweza nisaidia kupata kiwanja huko ununio?
 
mbagala kuna nyumba safi na ya kisasa ina vyumba vinne vya kulala,dinning roon na sitting roon yaani iko full gharama yake ni tsh.250,000 kwa mwezi
sifa za mbagala:
-kuna barabara safi
-ni rahisi kufika mjini
-kuna shule nzuri zikiwemo international kuanzia kindergatten-advance
-kuna benki zote hivyo huwezi kupata shida yoyote ya kibenki
-kuna hospitali

karibu.
Vipi kuhusu mabomu? mbona hujatoa tahadhari?
 
NYUMBA IKO UNUNIO ,hio ni Karibu na TEgeta, Iko metre 200 kutoka Main Road , na metre 300 kufikia ukingo BEACH.Barabara zinapitika.Kuna Schools za Secondary 3 Jirani ikiwemo ile ya Ununio Boys High School na Johanna Mbatizaji.
 
4 bedroom House available at UNUNIO BEACH ,Dar-Es-Salaam. House is self contained wall fenced having 4 Bedroom three toiletes with showers kitchen,Dining,Seating Room.The Rent is negotiable in terms of price and also in terms of facilities to be added.UNUNIO is about 28 Kilometres from City Centre. Good water and electric supply,. Well connected to Roads. Three secondary schools in the nearby. Decent environment and good Neighbourhood. Rent is 520,000 Shillings per month. Well secured Fencing.
 
A recently redeveloped modern property of four
bedrooms located in Boko , Basi Haya is available for rent.It is fenced . Decent and safe Neighbourhood. BOKO Beach is next to Bahari Beach. The House is located 300 metres from the Beachfront and 200 metres from New Bagamoyo Road. There are passable 3 roads to the House . The rent is 400 US dollars in Tanzania Shillings and is negotiable . Pls contact 0776702640
[/B][/B][/SIZE][/I][/SIZE][/B]
 
Shs 520,000???? ununio? huh...picha ya nyumba iko wapi? contact zako je?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom