Nyumba inapangishwa

Maturo

Member
Aug 12, 2009
6
0
Nyumba inapangishwa ipo tegeta kibaoni, ina vyumba vitatu vya kulala, master bed room, dinner, store,kwa kweli ni nyumba nzuri ipo ndani ya geti, na kuna choo cha nje, packing na sehemu ya kuchezea watoto.ni mpya.
 
Ukiweka bei na ukiweka picha itakuwa vyema zaidi mkuu jitahidi basi.
 
taja bei kiongozi.mi nataka kuhamia huko ni PM mambo ya bei
 
Back
Top Bottom