Nyumba Inapangishwa

Mnhenwa Ndege

JF-Expert Member
Dec 5, 2007
242
19
house.jpg

Moja ya mansion (hii ya kulia) hapa linapangishwa ni full furnished house (furniture babkubwa), swimming pool, air conditioned, ample parking space kama unavyoona and an automatic stand by generator. Nyumba ipo maeneo ya Mikocheni. Kodi kwa mwezi ni $ 4,500 (annual payment inadvance). Kwa mawasiliano tuma email kwa pwaniraha@gmail.com
 
Back
Top Bottom