Nyumba inapangishwa tabata baracuda 450,000 kwa mwezi

Penguin-1

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
406
64

specs:
Vyumba vitatu(1 master)
sebule kubwa(6 x5)
air condition(ac)
fan
madirisha makubwa
jiko + store
dining
kibaraza
uwanja mkubwa mbele
parking(garage)
fence + gate
miti ya kivuli

Pia kuna vyoo 2 vya nje siku ukiwa na shughuli :)

maji yapo:
-kunatank la lita 10000
-kisima(tanki) cha chini lita karibu 100,000
-kisima kingine cha chini lita 10000
-maji yanatoka mara 2 kwa wiki na kujaza matank hayo automatically

umeme:
Luku

-ipo mita 200 kutoka barabarani/kituoni
-kodi 450,000tzs kwa mwezi(majadiliano kidogo yapo)
-malipo ni kwa mwaka

-hakuna dalali
nipigie mimi mwenyewe ndio nipo hapa mjengoni
0655123683
0759123683
DSC_0065.jpg

DIRECTIONS
directions.JPG
 
Mkuu ipo katika hali gani?

Iko Baracuda sehemu gani hasa?

Ipo vizuri Kabisa ,haiihitaji Maintenance yoyote ya kutisha labda mteja arequest Mwenyewe in his/her favour.
Nimeambatanisha karamani hapo mkuu
 
Back
Top Bottom