Nyumba (apartment) nzuri sana inapangishwa. Nyumba iko maeneo ya Kimara Korogwe, umbali 2kms kutoka Morogoro road, na sifa zifuatazo:
Vyumba 3 vya kulala (kimoja ni masterbedroom)
Sebule kubwa
Jiko lenye makabati (kitchen cabinets)
Public toilet
LUKU
Maji (DAWASA)
Parking ya kutosha
Paving blocks
Uzio wa ukuta
Nauli ya bajaji ni sh 500, bodaboda sh 1,000.
Bei Shs 500,000 x 3 (Hakuna dalali)
Mawasiliano: 0710 731 761
Vyumba 3 vya kulala (kimoja ni masterbedroom)
Sebule kubwa
Jiko lenye makabati (kitchen cabinets)
Public toilet
LUKU
Maji (DAWASA)
Parking ya kutosha
Paving blocks
Uzio wa ukuta
Nauli ya bajaji ni sh 500, bodaboda sh 1,000.
Bei Shs 500,000 x 3 (Hakuna dalali)
Mawasiliano: 0710 731 761