Nyumba inapangishwa njiro arusha bei poa sana laki nne tu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba inapangishwa njiro arusha bei poa sana laki nne tu!!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Don Mangi, Feb 9, 2012.

 1. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Narudia tena jamani wana JF napangisha nyumba maeneo ya njiro Nane Nane karibia na Uwanja wa Maonyesho ya kilimo TASO grounds, nyumba ina Sitting room, masterbedroom,study room,bedroom,kitchen. Car parking, imezungushiwa ukuta. Mkataba ni kuanzia mwaka mmoja. Dalali hahitajiki. Niungisheni basi wadau. Pia nakaribisha offers nyingine hiyo bei hapo juu siyo sheria ki hivyooo call me through 0713713198, strictly serious customers...I mean SERIOUS customers.
  Asanteni.
   
Loading...