Nyumba inapangishwa Morogoro

IBRABABRA

Member
Oct 21, 2015
40
12
Nyumba inapangishwa iko Morogoro,kihonda magorofani karibu na St.Fransis seminary,Ina vyumba Vitatu,Master Moja na vyumba vingine viwili.Ina public toilet,kitchen na sitting room Pia Ina fance na Toilet nyingine ya inje in case una function yoyote,Pia kuna storage tank ya ujazo wa lita 2000,Pia kuna Kisima cha kina kirefu mita 90 na Maji baridi yasio na chumvi.Kodi yake ni Tsh 350'000/,mwenye interest ani inbox.Ahsanten
 
Na je intakiwa ilipiwe kwa muda gani?
- Miezi mitatu, Sita au mwaka? au ni kwa kila mwezi?

Ahsante

Sorry malipo ni 350,000 kwa mwezi malipo ni advance payments kwa mwaka ingawa kwa majadiliano inaweza kulipiwa hata kwa miezi Sita (6) na nyumba itakuwa available from January 2018
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom