Nyumba inapangishwa-mbezi luis

beko

Senior Member
Apr 11, 2011
189
91
Nyumba self contained inapangishwa iko mbezi luis barabara ya mpigi kama km 2 kutoka Morogoro road. ina vyumba vitatu vya kulala (moja ni master) ina fensi ya ukuta, maji ya na kisima cha ltr 12,000. in garage ya kupaki gari moja
Kodi ni shs 250,000 kwa mwezi.
plse call 0714432979
 
mbona bei rahisi sana, kwa nyumba yako maeneo ya sinza au knyama ungepata 1M kwa mwezi duh! au mnatumia material tofaut kujengea??
 
Ni kweli unavyosema lakini location ndio issue. na ingekua kijijini nisingepata hata 50,000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom