Nyumba inapangishwa- mbezi beach samaki wabichi

MagicM

Member
Sep 19, 2011
80
7
Nyumba ina vyumba 4 vya kulala iko maeneo ya mbezi beach samaki wabich na iko barabarani. Nyumba imezungukwa na huduma zote muhim kama vile hospital na nyinginezo, ina maji na umeme.
Kama utapenda kuiona ni PM ili upate maelezo zaidi na mawasiliano
KARIBUNI SANA..............
 
picha.....
bei kwa mwezi.....????
 
Back
Top Bottom