Nyumba inapangishwa kwa 100,000

bullion

JF-Expert Member
Aug 23, 2014
309
112
Wakuu heshima zenu.
Kama thread inavyosema, nyumba ina sifa zifuatazo
-Vyumba vitatu, kimoja master
-Dinning, sitting room
-Jiko na choo cha jumuia
-Choo cha nje
-Ina sifa zingine, isipokuwa umeme bado kuunganisha, ipo mbioni, umeme baada ya mwezi au miwili
-Fence imeanza kujengwa
-Nyumba ipo freetown, njia ya kwenda goba, karibu na kwa mbunge mstaafu

Karibuni wadau
 
Tuwasiliane
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom