House4Rent Nyumba inapangishwa karibu na Goba Njianne, Dar

MENISON

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
726
622
Ina vyumba viwii vya kulala , choo cha ndani na nje. Ina jiko ,dinning na baraza ya mbele na jikoni. Nyumba inajitegemea mifumo ya maji na umeme.

Ipo ndani ya fence,bei ni 250000/= fixed. Ipo kilometer 1.5 kutokea njianne ulelekeo wa madale, mita 110 kutokea lami.

0789 505 901 mawasiliano
IMG_20210313_154310.jpg
 
Back
Top Bottom