Nyumba inapangishwa,ipo Kimara Korogwe.

specialist88

JF-Expert Member
Aug 31, 2014
1,141
617
Nyumba imeshachukuliwa tayari.
 
Attachments

  • 1482730474473.jpg
    1482730474473.jpg
    106.9 KB · Views: 205
  • 1482730499134.jpg
    1482730499134.jpg
    99.1 KB · Views: 113
  • 1482730509944.jpg
    1482730509944.jpg
    70 KB · Views: 104
Hiyo ya kurudi usiku saana inabidi uweke muda. Manake hukawii kukuta Mwenye nyumba kwake usiku saana ni saa tatu. Wengine ni makorokoroni, au ni hostel hiyo?
 
King'asti sio saa tatu bana,kiufupi hataki watu wanaorudi usiku kutoka kwenye mambo kama pombe alafu wanarudi na vurugu kugonga geti kama vita vile,kupiga piga kelele....lakini kama unarudi usiku mara chache chache na huna vurugu mlango/geti linafunguliwa na ndugu yako/mke wako bila usumbufu kwa mwenye nyumba.

Ustaarabu tu ndio anao taka.
 
Nadhani kwa asiye na mke hapo kulala nje itakuwa rahisi.
 
Back
Top Bottom