Nyumba inahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba inahitajika

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Tumsifu Samwel, Jun 2, 2010.

 1. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #1
  Jun 2, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Jamani naombeni msaada wenu wa hali na mali, ni nahitaji nyumba ya haraka iwezekanavyo ndani ya wiki hii. Iwe maeneo ya sinza ,kijitonyama,mwenge ,mbezi beach tegeta ubungo.. Iwe na vyumba viwili na sehemu ya park ya gari.Bei isizidi tsh 250,000 laki mbili na nusu nitalipia kwa mwaka mzima....

  Ndugu zangu niko kwenye wakati mgumu sana, kwa sasa nipo hotelini kwa wiki ya pili sasa nitashukuru sana kwa mtakao nisaidia kufanikisha jambo ili.
   
 2. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #2
  Jun 2, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Wakuu mbona kimya?
   
 3. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2010
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama unaaamini madalali chukua namba hizo. 0718500985 au 0714556716
  Kazi kwako!
   
 4. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kuna nyumba mbezi beach (africana) Tshs laki 600000 kwa mwezi, kama vipi ni pm.
   
 5. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #5
  Jun 3, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu, asante sana , ngoja niwa check!
   
 6. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #6
  Jun 3, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu, Tsh 60,0000 ndefu sana kwangu.....Asante kwa ushirikiano wako.
   
 7. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  unafika 450,000 unafika?
   
 8. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #8
  Jun 4, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ulisema hutachangia JF nakuahidi post zako zifutwe naona unajileta kimya kimya.
  Hahahaha pole umepewa notice na mwenye nyumba lazima atakuwa mwana JF huyo endelea kukaa hotel napo pazuri tu.
   
 9. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #9
  Jun 4, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ama, acha mambo ya kidalali nyumba ninayohitaji bei zake nimeweka hapo juu.
   
 10. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #10
  Jun 4, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Najua unifurahi sana ulipo sikia nang'atuka JF ili umrith Maria rosa ime kula kwako mpwa! Sasa mpwa nifsnyie mpango basi angalau nipate makazi maana nimeishiwa hadi naenda kula kwa mamalishe mtaani.
   
Loading...