Nyumba inahitajika

gobore

JF-Expert Member
Aug 17, 2009
715
352
Jamani mimi mwenyewe natafuta nyumba ya kupangisha iwe maeneo ya makumbusho,vyumba viwili au vitatu vya kulala bei kuanzia laki mbili na nusu hadi laki nne,iwe na uzio hata kama ukiwa wa kuchangia sio mbaya lakini si zaidi ya familia mbili. Mwenye info yoyote naomba uniPM au weka namba yako hapa ntakutafuta.
 
Nyumba umepata Mkuu ila weka na dau la dalali kabisa hapa kazi ianze. Kwa taarifa yako tu ni kuwa kuonyeshwa nyumba tu ni 10,000/=, kuongea na mwenye nyumba ni 15,000/=. Ukiipenda nyumba ni ishu nyingine hiyo privately unawez hata kutoa kodi ya miezi sita ni jambo la kawaida. kama unaweza hizi cost niPM niwaambie vijana wafanye kazi fasta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom