nyumba inahitajika

mor112

Member
Mar 6, 2010
16
0
Habari

Natafuta nyumba chakavu in Dar ambayo iko barabarani kwenye mzunguko waa watu wengi ambapo unaweza kufungua biashara, Chaa msingi iwe sehemu Nzuri ambapo badae unaweza kujenga naa kuweka frames zaa vyumba naa kukodisha ama kufanya biashara mwenyewe.

Budget yangu ni up to 40mil.

Shukrani
 
kaka hiyo ni bei ya nyumba kweli dar katikati ya jiji,hata kiwanja hupati, anzi emu 1oo,labda
 
kaka hiyo ni bei ya nyumba kweli dar katikati ya jiji,hata kiwanja hupati, anzi emu 1oo,labda

Kaka Sijasema Katikati yaa Jiji, Inaweza kuwa near the centre, kama mbagala, tabata, namaaanisha nyumba mbovu mbovu, nnachojali sana ni kiwanja sehemu nzuri kwenye main road, I know property is very expensive in Dar but I am looking for somewhere where there is a potential for growth in the future. , Ushauri wowote constructive unakaribishwa.
 
nimechukua number yako. nyumba zipo mwananyamala mchangani, mbagara kuna moja ipo barabarani kabisa inataka 38, nadhani itakufaa ipo mbagara mzambarauni . pia kuna nyumba chakavu zipo kinondoni, labda niambie ni sehemu gani hasa unailenga lakini nyumba zipo mkuu utapata . 0657 1455555
 
uko siriaz au asiala nimekwambia nicheki naona kumya o712690760
 
Back
Top Bottom