Jagarld
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 2,515
- 3,042
Ni Mungu tu amponye lakini hali imezidi kuwa mbaya, yeye ndo anaona anazidi kuimprove zaidi ya juzi kumbe bendera si nusu mlingoti Tena, inaenda kugusa ardhi Sasa.Hivi huyu jamaa huwa anajielewa kuwa dish linasumbua ama anajikuta tu yuko Butimba gerezani