Nyumba iliyojengwa Lushoto (Tanga) kwa ajili ya DJ. Don Nalimison iuzwe au wapewe CHADEMA kuwa Ofisi yao

NYUMBA hiyo ilijengwa mwaka 2012/2013 kwa ajili yangu wilayani Lushoto mkoani Tanga tena bila taarifa na bila idhini yangu. DJ. DON NALIMISON nilishangaa Sana kujengewa NYUMBA ya kishamba shamba Kama gofu huku hati ya NYUMBA imeandikwa jina la mtu mwingine.

Unanijengea NYUMBA huku hati haina jina Langu, hivi una akili kweli? Nashauri na kulazimisha NYUMBA hiyo iuzwe au wapewe Chama Cha CHADEMA ambacho niligombea Ubunge Jimbo Hilo la Lushoto mwaka 2010. Naomba msihariri hati ya NYUMBA Bali uzeni mle na hizo Pesa.

Mimi sio fala Kama waliojenga hiyo NYUMBA. Mimi sio wakujengewa NYUMBA kwa Pesa zangu na makapuku yaliyoheshimishwa ili nionekane boya. Tafadhalini Sana. Uzeni hilo TAKATAKA lenu na Pesa mgawane, siwezi kuishi kwenye TAKATAKA lenu.

Aidha CCM sio Chama Cha kuniongoza Mimi DJ. DON NALIMISON, na Wala sio Chama Cha kunijengea NYUMBA Mimi DJ. DON NALIMISON. Tafadhalini uzeni na Pesa mkasomeshee watoto wenu. Sina mtoto Lushoto na Wala Sina mtoto Tanzania, wakati wangu wa kupata mke sahihi wa kunizalia mtoto bado haujafika. Na mtoto nitakaye zaliwa kwa mbegu zangu hawezi kurithi mitakataka yenu.

DJ. DON NALIMISON.

Dah
Bora umewaweka wazi. Kwa nini wakudhalilishe kukujengea gofu tena bila kukujulisha.

Washindwe na kulegea au vip DJ?
 
Hivi huyu mtu ni nani hasa? Anayemfahamu vizuri anifahamishe. Au hata wewe ndugu Dj DON NALIMISON unaweza kunifamisha. Je, ni mwanasiasa au mwanaharakati? Hili ni andiko lako pili nalisoma. Inaonekana kuna watu wamekuvuruga sana. Pole kwa yote yaliyokupata. Na unahitaji msaada wa karibu sana wa kisaikolojia/kijamii au msaada mwingine wowote ambao wataalamu waliobobea wataona unakufaa
 
NYUMBA hiyo ilijengwa mwaka 2012/2013 kwa ajili yangu wilayani Lushoto mkoani Tanga tena bila taarifa na bila idhini yangu. DJ. DON NALIMISON nilishangaa Sana kujengewa NYUMBA ya kishamba shamba Kama gofu huku hati ya NYUMBA imeandikwa jina la mtu mwingine.

Unanijengea NYUMBA huku hati haina jina Langu, hivi una akili kweli? Nashauri na kulazimisha NYUMBA hiyo iuzwe au wapewe Chama Cha CHADEMA ambacho niligombea Ubunge Jimbo Hilo la Lushoto mwaka 2010. Naomba msihariri hati ya NYUMBA Bali uzeni mle na hizo Pesa.

Mimi sio fala Kama waliojenga hiyo NYUMBA. Mimi sio wakujengewa NYUMBA kwa Pesa zangu na makapuku yaliyoheshimishwa ili nionekane boya. Tafadhalini Sana. Uzeni hilo TAKATAKA lenu na Pesa mgawane, siwezi kuishi kwenye TAKATAKA lenu.

Aidha CCM sio Chama Cha kuniongoza Mimi DJ. DON NALIMISON, na Wala sio Chama Cha kunijengea NYUMBA Mimi DJ. DON NALIMISON. Tafadhalini uzeni na Pesa mkasomeshee watoto wenu. Sina mtoto Lushoto na Wala Sina mtoto Tanzania, wakati wangu wa kupata mke sahihi wa kunizalia mtoto bado haujafika. Na mtoto nitakaye zaliwa kwa mbegu zangu hawezi kurithi mitakataka yenu.

DJ. DON NALIMISON.
MagufuliHuyu akili zake kama za maguf
 
Hivi huyu mtu ni nani hasa? Anayemfahamu vizuri anifahamishe. Au hata wewe ndugu Dj DON NALIMISON unaweza kunifamisha. Je, ni mwanasiasa au mwanaharakati? Hili ni andiko lako pili nalisoma. Inaonekana kuna watu wamekuvuruga sana. Pole kwa yote yaliyokupata. Na unahitaji msaada wa karibu sana wa kisaikolojia/kijamii au msaada mwingine wowote ambao wataalamu waliobobea wataona unakufaa
Dj DON NALIMISON ni mtoto wa Mzee Kisandu wa Shinyanga huko! Zamani alikuwa akitambulika kama Deo Kisandu, kabla ya kulikana hili jina lake kupitia Mwanasheria wake! Kitaaluma ni mwalimu wa zamani wa Mkolani Sekondari huko Mwanza Jiji!

Kwa sasa ni raia wa Marekani mtarajiwa, baada ya kugundua baba yake halisi ni Mnegro anaye fahamika kwa jina la Nalimi Curtis! (Sijui huyu Mnegro alikuja Bongo lini na kusababisha kutokea kwa huyu kiumbe mtata!!)

Aliwahi kufungwa miaka 3 gereza la Kitengule huko Mwanza kwa makosa ya "uchochezi"!
Jamaa ana vipaji lukuki! Ni mwalimu, ni Mwanasiasa, ni mwana harakati, ni mwanamuziki mashuhuri! Ni mwanasheria, ni mwandishi wa habari! Ni Bruda wa zamani kule Morogoro kwa Father Peku peku! Ni Mkwe mtarajiwa wa Barack Obama kwa binti yake Malia Obama!!

Aaaaarghhhh!!! Halafu mbona CV zake zote zipo humu jukwaani!! Hebu jaribu kuperuzi utapata madini ya kutosha kumhusu Mtemi Deo Kisandu aka Masqo!!
 
Dj DON NALIMISON ni mtoto wa Mzee Kisandu wa Shinyanga huko! Zamani alikuwa akitambulika kama Deo Kisandu, kabla ya kulikana hili jina lake kupitia Mwanasheria wake! Kitaaluma ni mwalimu wa zamani wa Mkolani Sekondari huko Mwanza Jiji!

Kwa sasa ni raia wa Marekani mtarajiwa, baada ya kugundua baba yake halisi ni Mnegro anaye fahamika kwa jina la Nalimi Curtis! (Sijui huyu Mnegro alikuja Bongo lini na kufanikiwa kutokea kwa huyu kiumbe mtata!!)

Aliwahi kufungwa miaka 3 gereza la Kitengule huko Mwanza kwa makosa ya "uchochezi"!
Jamaa ana vipaji lukuki! Ni mwalimu, ni Mwanasiasa, ni mwana harakati, ni mwanamuziki mashuhuri! Ni mwanasheria, ni mwandishi wa habari! Ni Bruda wa zamani kule Morogoro kwa Father Peku peku! Ni Mkwe mtarajiwa wa Barack Obama kwa binti yake Malia Obama!!

Aaaaarghhhh!!! Halafu mbona CV zake zote zipo humu jukwaani!! Hebu jaribu kuperuzi utapata madini ya kutosha kumhusu Mtemi Deo Kisandu aka Masqo!!
Kumbe ni wewe mwalimu Kisandu.
 
Hivi hii dress code yako imekaaja, mbona haubadili, kila kona ni kivazi hiki hiki tu, unafua na kubadili muda gani?

Au ni kama tulivyoaminishwa kwamba, Yesu hakubadili kanzu, alikuwa akikua nayo inakua, tangia utotoni ni hiyo hiyo tu mpaka kusulubishwa na kupaa mbinguni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huyu mtu ni nani hasa? Anayemfahamu vizuri anifahamishe. Au hata wewe ndugu Dj DON NALIMISON unaweza kunifamisha. Je, ni mwanasiasa au mwanaharakati? Hili ni andiko lako pili nalisoma. Inaonekana kuna watu wamekuvuruga sana. Pole kwa yote yaliyokupata. Na unahitaji msaada wa karibu sana wa kisaikolojia/kijamii au msaada mwingine wowote ambao wataalamu waliobobea wataona unakufaa
Haaa! Wewe ni mgeni humu? Wenzio tuko nae kabla hajafungwa jela, enzi hizo ni ticha, jina lake jingine ni Deo Kisandu
 
Hivi huyu mtu ni nani hasa? Anayemfahamu vizuri anifahamishe. Au hata wewe ndugu Dj DON NALIMISON unaweza kunifamisha. Je, ni mwanasiasa au mwanaharakati? Hili ni andiko lako pili nalisoma. Inaonekana kuna watu wamekuvuruga sana. Pole kwa yote yaliyokupata. Na unahitaji msaada wa karibu sana wa kisaikolojia/kijamii au msaada mwingine wowote ambao wataalamu waliobobea wataona unakufaa
Kaka nafikiri hebu tafuta threads zake za humu ndan ndo utamjua DON... Yaan kama umesoma maandiko yake mawili bado sana.

Kuna DON mmoja tu humu... Yaan yeye ni Ubaridi kuliko Ubaridi wenyewe
 
NYUMBA hiyo ilijengwa mwaka 2012/2013 kwa ajili yangu wilayani Lushoto mkoani Tanga tena bila taarifa na bila idhini yangu. DJ. DON NALIMISON nilishangaa Sana kujengewa NYUMBA ya kishamba shamba Kama gofu huku hati ya NYUMBA imeandikwa jina la mtu mwingine...
Aidha CCM sio Chama Cha kuniongoza Mimi DJ. DON NALIMISON, na Wala sio Chama Cha kunijengea NYUMBA Mimi DJ. DON NALIMISON.

Tafadhalini uzeni na Pesa mkasomeshee watoto wenu. Sina mtoto Lushoto na Wala Sina mtoto Tanzania, wakati wangu wa kupata mke sahihi wa kunizalia mtoto bado haujafika. Na mtoto nitakaye zaliwa kwa mbegu zangu hawezi kurithi mitakataka yenu.
 
Back
Top Bottom