Nyumba iliyojengwa kwa chupa za plastiki inapendeza sana

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
plastic-bottles-filled-with-sand.jpg
Chupa zikiwa tayari kwa ujenzi

building-with-bottles.jpg
Ujenzi ukiwa unaendelea kwa ustadi

Nigeria-bottle-house-plaster.jpg

bottle-house-design-plastic.jpg

bottle-house-africa.jpg

house-made-of-bottles-nigeria.jpg
Nyumba ikiwa tayari kwa kuishi.
 
Humo katikati ya chupa kumewekwa nini............?.......
 
Vipi moto ukitokea apo?

Moto wa nn kaka hata tofali zinaungua, marekani wanajenga kwa mbao, moto ukitokea hauulizi umejengea nini maranyingi huchochewa na aset zilizomo ndani km sofa, pazia na dali. Otheryz ni ubunifu mkubwa, kijijini tinajenga za miti na haziungui
 
Humo katikati ya chupa kumewekwa nini............?.......

Inaonekana kama wameja mchanga wa pale kokobichi...hebu tusubirie...

sijui wale jamaa ambao mwenyekiti wao ni anti-muhongo wanashauri nini hapo...mazingira yanahusika na vipimo vya risha ile sijui kuhusu mtikisiko.....
 
Back
Top Bottom