Nyumba hii yenye miaka 700 ipo Iran

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,266
1622388402957.png

Waarabu wa kale waliweza kuchonga miamba na kuifanya makazi, waliweka milango na madirisha kujikinga na baridi pia wanyama wakali hata wezi.

Walikwenda mbali zaidi katika mazingira ya Zama za Mawe.
 
Hicho ni kichuguu cha mchwa kilichokuzwa (magnified) na photoshoped ili kionekane kama nyumba ya kuishi watu.
 
Wakati wa joto ninadhani walitumia muda mwingi nje na usiku miamba huwa inapoa ikishapoteza joto la jua.
Miamba inachelewa sana kupoa aisee. Itabidi machweo kama ni saa 12 mlale saa sita usiku kuepuka joto.

Kuna rafiki yangu aliwahi kuja kulala ghetto kwangu kwa vile chumba alichopanga mwezi huo jua lilikuwa linapiga ukutani kwake mchana mzima. Usiku anawasha feni lakini waapi akakimbia
 
Ajabu ukiwa Misri ukisimama chini ya Pyramids ni kama uko kwenye AC wakati huo jua linaunguza.
 
Samahan sky .... Nahis una maarifa makubwa saana bila shaka
... Emu niambukize mbinu tafadhali nimejaribu kukuPM sijui kimetokea nn
 
Ajabu ukiwa Misri ukisimama chini ya Pyramids ni kama uko kwenye AC wakati huo jua linaunguza.
Aaah achana na mafarao walijenga na makaburi humo kuweka mummies wanaodumu maelfu. Walikuwa na teknolojia ya juu sana
 
Back
Top Bottom