Huko hakuna joto?View attachment 1802838
Waarabu wa kale waliweza kuchonga miamba na kuifanya makazi, waliweka milango na madirisha kujikinga na baridi pia wanyama wakali hata wezi.
Sasa ilikuaje wakasafiri na majahazi mpaka Africa na kukutawala wewe usiyekua mvivu?Waarabu wavivu sana hili ndio tatizo lao kubwa wamekuja kuwaambukiza hawa jamaa zetu nao
Aliyekuambia mi nipo mjini nani..acha shoboAkili yako iko kwenye shoo tu basi; tumia akili yako zaidi kutafuta hela , hapa mjini bila hela utaolewa!!!
Sawa kijana wa ki iran..nimekusomaAkili za vijana wa kitanzania hizi. Kila kitu wanakiangalia kwa mtizamo wa ngono.
,Akili yako iko kwenye shoo tu basi; tumia akili yako zaidi kutafuta hela , hapa mjini bila hela utaolewa!!!
Miamba inachelewa sana kupoa aisee. Itabidi machweo kama ni saa 12 mlale saa sita usiku kuepuka joto.Wakati wa joto ninadhani walitumia muda mwingi nje na usiku miamba huwa inapoa ikishapoteza joto la jua.
Uko sahihi kabisa mkuu,Alafu Wairani sio Waarabu. Au tumuulize mwanamuqawanna kimsboy
Ajabu ukiwa Misri ukisimama chini ya Pyramids ni kama uko kwenye AC wakati huo jua linaunguza.Miamba inachelewa sana kupoa aisee. Itabidi machweo kama ni saa 12 mlale saa sita usiku kuepuka joto.
Kuna rafiki yangu aliwahi kuja kulala ghetto kwangu kwa vile chumba alichopanga mwezi huo jua lilikuwa linapiga ukutani kwake mchana mzima. Usiku anawasha feni lakini waapi akakimbia
Hakuna watu wachapakaz,akili kubwa kama wa Iran mzeeWaarabu wavivu sana hili ndio tatizo lao kubwa wamekuja kuwaambukiza hawa jamaa zetu nao
ukiingia na demu humo show inakuwa tamu sana
Kwa ubunifu kweli walikuwa wabunifu lakini ukisema eti miaka 700 iliyopita ilikuwa ni "zama za mawe" , nakataa.Walikwenda mbali zaidi katika mazingira ya Zama za Mawe.
Hauonekani kuwa mwamba?View attachment 1802838
Waarabu wa kale waliweza kuchonga miamba na kuifanya makazi, waliweka milango na madirisha kujikinga na baridi pia wanyama wakali hata wezi.
Walikwenda mbali zaidi katika mazingira ya Zama za Mawe.
Aaah achana na mafarao walijenga na makaburi humo kuweka mummies wanaodumu maelfu. Walikuwa na teknolojia ya juu sanaAjabu ukiwa Misri ukisimama chini ya Pyramids ni kama uko kwenye AC wakati huo jua linaunguza.