Nyumba aliyoishi Baba wa Taifa baada ya kuacha kazi ya Ualimu 1955

Mwisho wa siku naye yupo mavumbini anaadhibiwa kwa dhulma alizozifanya kwa binadamu wenzie. Mwisho wa ubaya siku zote ni aibu.
Na mwisho wa siku na wewe utakuwa mavumbini kwa uongo unaoueneza. Wewe umekuwa kwenye kumbi nyingi za mitandao ukieneza uongo huu na pia kupalilia chuki kati ya uislamu na ukristu. Mimi nakufahamu tangu TANZANET (r.i.p.) siku zote unaeneza haya haya wala huna jipya. Ulikuwa umetulia na sasa unaanza yaleyale na jenda zile zile. Ulikuwepo wakati wa Mkapa, wakati wa Kikwete, ukatulia wakati wa Magufuli, na sasa sijui umeibukia wapi wakati wa mama (SSH). Hivi wewe huchoki kueneza chuki mitandaoni?
 
Mbona povu jingi sana Mkuu? Hebu agiza soda baridi nitakuja kulipa ili upunguze hilo joto. Maana naona huu ujumbe wako umepotea njia kwani yote uliyoninasibisha nayo mimi sina. Soma tena ujue ulimlenga nani na upunguze jazba.
 
Back
Top Bottom