Nyumba 1500 zinazojengwa Kigamboni na Milionea Mtanzania


B

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Messages
5,808
Likes
3,667
Points
280
B

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2010
5,808 3,667 280
Nyumba 1500 zinazojengwa Kigamboni, Dar-es-Salaam na Mtanzania Milionea aliyeishia la 7

Source: Millard Ayo

Hamidu City Park is a luxurious and beautiful designed city located at Kigamboni Mikwambe, Dar es-Salaam, Tanzania 16km from Ferry, 26km via Mbagala Kilwa road, 1km from main road to the city. The city is surrounded by green landscape.

The City has more that 305 plots which we will build more than 1500 houses. In the city you will find; Housing Estate, Hotels, Educational Centres, Hospitals, Shopping Malls and Religious Places.

Hamidu City Group under Orange Apartment Limited also provide you with houses for rent which are located at Mikocheni, one of Leafy suburbs in Dar es-Salaam and the apartments are fully furbished with air conditions and furniture.
Source: Hamidu City Group of Companies - Real Estate in Dar Es Salaam, Tanzania
 
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
23,791
Likes
27,958
Points
280
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
23,791 27,958 280
Wapi mwanaJF Kiranga? hivi alivyopigwa BAN ndio alisusa jumla kuendelea humu JF? Kiranga nakuita baba njoo wewe ni mkali wa kienglish, njoo unitafsirie hii thread
 
Ta-kibombo

Ta-kibombo

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2015
Messages
596
Likes
391
Points
80
Ta-kibombo

Ta-kibombo

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2015
596 391 80
Wapi mwanaJF Kiranga? hivi alivyopigwa BAN ndio alisusa jumla kuendelea humu JF? Kiranga nakuita baba njoo wewe ni mkali wa kienglish, njoo unitafsirie hii thread
Kiranga alisema harudi tena umu Jf
 
chongchung

chongchung

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Messages
3,732
Likes
1,841
Points
280
Age
27
chongchung

chongchung

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2013
3,732 1,841 280
Ndio alimpa ujumbe mwenzio atuambie kuwa amekasirika kwa kupigwa BAN ya uonevu na kwamba anatuaga wana JF hatarudi tena humu
Kale kajamaa kanajiita mzee wa Wallstreet NY kanapenda kutetemekewa sana kumbe ni keupe pee!
 
chongchung

chongchung

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Messages
3,732
Likes
1,841
Points
280
Age
27
chongchung

chongchung

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2013
3,732 1,841 280
Yeye ndie alisema sasa kama yumo kwa I'd nyingine ilo nijambo lake binafsi
Unaongea kama wewe ndio msemaji wake humu au ndio mwenyewe nini I smell something fishy
 
innocentmollel

innocentmollel

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2014
Messages
1,706
Likes
451
Points
180
innocentmollel

innocentmollel

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2014
1,706 451 180
Usiseme hatuna helaa semaa cna helaa..nyumba 1500 duuu c mchezo mchezo
 

Forum statistics

Threads 1,273,084
Members 490,268
Posts 30,470,742