Mkuu sisi ndo watz wavivu wa kufikiri na kufanya kazi,,bure tunapata ila hatuna shukraniSipati picha wewe ndugu ungekuwa umenilipa.
Ndugu usidhani kuwa mimi sina kazi, kuwa nikiamka mpaka kulala kwangu ni JF. Ndo mana ninapopata nafasi natuma niwezavyo. Mbona ni wahaba wa shukrani ninyi?Hii riwaya tuliambiwa imeisha itakuwa ni kutupiwa tu, lkn mpka tumuite kwa sauti ya kwanza.
Ndugu usidhani kuwa mimi sina kazi, kuwa nikiamka mpaka kulala kwangu ni JF. Ndo mana ninapopata nafasi natuma niwezavyo. Mbona ni wahaba wa shukrani ninyi?
Wavumilivu tupo ukipata nafasi tupiaNdugu usidhani kuwa mimi sina kazi, kuwa nikiamka mpaka kulala kwangu ni JF. Ndo mana ninapopata nafasi natuma niwezavyo. Mbona ni wahaba wa shukrani ninyi?
Kiongozi wasamehe tu ukiona hivyo ujue imewabamba wamekuwa kama mateja wakiikosa wanaumia sana.Ndugu usidhani kuwa mimi sina kazi, kuwa nikiamka mpaka kulala kwangu ni JF. Ndo mana ninapopata nafasi natuma niwezavyo. Mbona ni wahaba wa shukrani ninyi?
Inshallah tupo tunangojeaHellow. Leo tunaendelea tena...
Wengine wanavuta bangi wasamehe tuNdugu usidhani kuwa mimi sina kazi, kuwa nikiamka mpaka kulala kwangu ni JF. Ndo mana ninapopata nafasi natuma niwezavyo. Mbona ni wahaba wa shukrani ninyi?