Nyuma yako (Riwaya ya S. Mollel)

Samahanini sana ndugu zanguni. Tangu Alhamisi nilikuwa hospitali sababu ya Malaria, Dengue na UTI. Hali ilikuwa mbaya mno, nashukuru Mungu nasimama sasa kwa miguu yangu.
Aisee!!! pole sana kiongozi Mwenyezi Mungu akusimamie uendelee kuwa na afya njema ili uzidi kutupa burudani maujanja.....
 
Samahanini sana ndugu zanguni. Tangu Alhamisi nilikuwa hospitali sababu ya Malaria, Dengue na UTI. Hali ilikuwa mbaya mno, nashukuru Mungu nasimama sasa kwa miguu yangu.
pole xn mkuu, ila Mungu n mwema utapona na kulud ktk majukum yko soon
 
Samahanini sana ndugu zanguni. Tangu Alhamisi nilikuwa hospitali sababu ya Malaria, Dengue na UTI. Hali ilikuwa mbaya mno, nashukuru Mungu nasimama sasa kwa miguu yangu.
Pole sana Tevie..

MMungu na akupe uzima...uendelee na majukumu!
Pole sana mkuu..madude yote hayo kwa mpigo!
Dah!...
 
Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom