Zion jrGong Marley
Senior Member
- Aug 27, 2018
- 173
- 108
Steve vip bro huku ?
Tarrus hahahaHatimae Marshall ametoroka kifo
kisha lini tena mkuu?huoni vyema ikaisha kbs maana nadhan wengi washasahau ht ilianzaje!Leo tunaendelea tena
Ndugu, siwezi kukulaumu maana hujui ratiba yangu. Kama tu kuingia JF nashindwa ntaweza tuma story? Chill n enjoy the story. Au waweza jipa favour mkuu ukangoja ikiisha ukaipitia upendavyo.kisha lini tena mkuu?huoni vyema ikaisha kbs maana nadhan wengi washasahau ht ilianzaje!
ila mm nimejifunza kutokushobokea riwaya humu mpk nione neno the ~End