nyuma ya pazia:wabunge na dada zetu wa UDOM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nyuma ya pazia:wabunge na dada zetu wa UDOM

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by meningitis, Feb 28, 2012.

 1. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  kwa muda mrefu tumekuwa tukiwasema dada zetu wa vyuo vikuu hasa UDSM kuhusiana kimapenzi na wanafunzi wenzao au mapedeshe wa mtaani.kuna kipindi tuliwahi kusikia wanafunzi hawa kujiuza kimwili katika night clubs mbalimbali jijini dar.
  Sasa hili tatizo limeamia dodoma mji ambao kwa mujibu wa spika wa bunge gharama za maisha zimepanda.
  Shuhuda mmoja ambaye ni mwanafunzi wa UDOM amesikika akisema waheshimiwa wabunge wameacha ku chukua vyangudoa na badala yake wanawekeza miposho yao kwa dada zetu wanafunzi wa UDOM.muhabarishaji anasema hii inaweza kuwa ni sababu mojawapo ya wimbi kubwa la supp. Katika chuo hiki(karibu wanafunzi 1000 hupata supp kwa muhula)
  ningeomba kusikia utetezi wa wanafunzi wa UDOM mlioko jamvini dhidi ya kashfa hii nzito.........
  Nawasilisha.
   
 2. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,334
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  Ni kweli hata mimi namjua mmoja anakula kichwa pale UDOM ila sababu kubwa ni dhiki na ugharama wa pale chuoni.Kuhusu sup inawafanyaje hadi kupelekea kubebwa na wabunge kwan wabunge ndo wanaowafundisha kuziondoa sup?
   
 3. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Hoja nzuri...
  Ijibiwe na membaz wa JF wa Dom na UDOM..
   
 4. a

  ammah JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  duh sup 1000 tu. Mbona kidogo sana
   
 5. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #5
  Feb 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  supp ni matokeo ya starehe hizo!
   
 6. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #6
  Feb 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  ha ha ha! Kati ya wanafunzi elfu tatu!
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Feb 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Duh...................
   
 8. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #8
  Feb 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,069
  Likes Received: 6,532
  Trophy Points: 280
  Hata binti yako akienda chuo ni maumivu tu.
   
 9. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #9
  Feb 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  maumivu makubwa hasa usipomtumia vijihela vya kula na mambo mengine
   
 10. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #10
  Feb 28, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,334
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  ahaaa nilikuwa sijaelewa kabisa.
   
 11. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #11
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Utetezi wa nini kwenye ikweli????
   
 12. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #12
  Feb 28, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Lord have mercy..!!!!!
   
 13. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #13
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  natamani kusikia neno la husninyho
   
 14. G

  Gread godwin Member

  #14
  Feb 28, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kazi za akina Amos makalla na Mwigullu nchemba. Ndani ya college ya social science and humanities
   
 15. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #15
  Feb 28, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  aisee hata mm, huyu yupo idodomya ila anazuga yupo chempwapwa!
   
Loading...