Nyuma ya pazia vifo kuongozana mwisho wa mwaka

TEAM 666

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
4,330
8,421
Habari wana HHM

Mwisho wa mwaka unakuja na matukio ya vifo wafanyabiashara wakubwa wasanii wanasiasa kunanini nyuma ya pazia juu ya hivi vifo.

Mwaka huu Bado hatujasikia ajali lakini hata ukimuuliza mtoto mdogo analitambua Hilo kwamba mwisho wa mwaka unakuja na matukio mengi ya kuhuzunisha na kutia simanzi kubwa.

Hali hii imepelekea baadhi ya watu huwa hawafanyi Safari kabisa mwisho wa mwaka Kuna Nini nyuma ya pazia?

Mshana Jr
 
Mwisho wa mwaka
millardayo_1-___CInGMHiANfN___-.jpg
millardayo-___CIpQvvIAHYl___-.jpg
millardayo-___CIu6Kcsgp9y___-.jpg
millardayo-___CI0HhJ7AZIA___-.jpg
millardayo-___CI0DjbZAPkn___-.jpg
 
imani tu hizo,miezi yote watu wanakufa ,wakina lwakatare,mitimingi,boseman,na ajali nyingi tu zimetokea kipindi ambacho sio mwisho wa mwaka
 
... swali jepesi sana hili. I hope unazungumzia ajali za barabarani; if yes, zinasababishwa na nini? Jibu ni uendeshaji usiozingatia sheria, magari mabovu au yenye kasoro, na ubovu wa miundombinu. Wasiozingatia sheria ni nani? Jibu ni madereva.

Kanuni ni kwamba kadiri unavyokuwa na vyombo vingi barabarani ndivyo probability ya madereva wengi wasiozingatia sheria barabarani inavyokuwa kubwa, ndivyo probability ya vyombo vibovu kuwa barabarani inavyokuwa kubwa. Mwisho wa mwaka watu wengi husafiri na hiyo ndio sababu ya hoja yako.
 
Habari wana HHM

Mwisho wa mwaka unakuja na matukio ya vifo wafanyabiashara wakubwa wasanii wanasiasa kunanini nyuma ya pazia juu ya hivi vifo.

Mwaka huu Bado hatujasikia ajali lakini hata ukimuuliza mtoto mdogo analitambua Hilo kwamba mwisho wa mwaka unakuja na matukio mengi ya kuhuzunisha na kutia simanzi kubwa.

Hali hii imepelekea baadhi ya watu huwa hawafanyi Safari kabisa mwisho wa mwaka Kuna Nini nyuma ya pazia?

Mshana Jr
Nimerejea ...nitarudi hapa
 
Deebo " stop being bitch get inside nigga"

Chris Tucker " nah nah

Hahaa huyu mwamba kaniuma kinoma kila nikiikumbuka ' Friday
 
Habari wana HHM

Mwisho wa mwaka unakuja na matukio ya vifo wafanyabiashara wakubwa wasanii wanasiasa kunanini nyuma ya pazia juu ya hivi vifo.

Mwaka huu Bado hatujasikia ajali lakini hata ukimuuliza mtoto mdogo analitambua Hilo kwamba mwisho wa mwaka unakuja na matukio mengi ya kuhuzunisha na kutia simanzi kubwa.

Hali hii imepelekea baadhi ya watu huwa hawafanyi Safari kabisa mwisho wa mwaka Kuna Nini nyuma ya pazia?

Mshana Jr
Kwani si ulisha aambiwa kila nafsi itaonja umauti,hadi nafsi za Wanyama nazo pia zinaonja Umauti huko Maporini, Dunia njia na wote tunapita,ni swala la muda tu! Muda wako ukifika tu hakuna jinsi ni lazima usepeshwe hakuna majadiliano hata ukipelekwa Ughaibuni utarudi tu kwa Sanduku!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom