Nyuma ya pazia: Ukiachilia Israel, Rais Trump pia yupo katika misheni yake ya kisiasa

Fiziolojia

JF-Expert Member
Oct 19, 2019
819
1,078
Hii ni kuhakikisha anaingia ikulu kiurahisi baada ya kuanzisha vita na Iran.

Na kwa jinsi raia wengi Wamarekani walivyo 'weupe kabisa' kuhusu masuala ya Middle East na walivyokuwa brainwashed" na propagandists media zao, basi lazima watampa kura na thisi year 2020 maana wanaamini Trump administration inapambana na gaidi Iran.

Hizi hapa ni baadhi ya tweets za trump kipindi cha uongozi wa Obama.

Trump alikuwa akimtuhumu Barack kuwa alikuwa akijitafutia umaarufu wa kisiasa kupitia mgogoro wa US na Iran, kitu ambacho ndio anakifanya yeye sasa hivi.

IMG_20200108_154525.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trump kwa hili kaaibika na kala kofi la uso
Wizi na madeni ndio sababu kubwa ya kuhangaika kote huko
Trump ni mkweli alishasema I love oil


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
kwamba wamarekani wengi hawajui mgogoro wa middle East?.

we mmatumbi kwa miaka zaidi ya 50 unaasikiliza RTD unajua ABCD za mgogoro huo, ila wao ambao wana industry kubwa ya media hawajui!.

sasa umejua huo mgogoro kupitia njia gani ambayo wao hawaijui?.


Sent using Jamii Forums mobile app

Na mimi nimeshangaa aisee.... anadhan Wamarekani ni hawajui kinachoendelea kama WaTanzania
 
Eti Weupe Duh! hivi kuna nchi inafatiliwa na wananchi wake kwenye siasa zake kama Marekani? Wewe kwanza historia ya marekani inaonekani uhifahamu vema kuanzia 1980+ rais gani ambaye hajawai kuingia mgogoro na middle east?

Marekani swala la vita ni la kimfumo wa nchi yao wala sio matakwa ya rais aliyepo madarakani hata aje rais gani kama mifumo haijaamua kuingia kwenye vita haiwezekani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom