Fiziolojia
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 819
- 1,079
Hii ni kuhakikisha anaingia ikulu kiurahisi baada ya kuanzisha vita na Iran.
Na kwa jinsi raia wengi Wamarekani walivyo 'weupe kabisa' kuhusu masuala ya Middle East na walivyokuwa brainwashed" na propagandists media zao, basi lazima watampa kura na thisi year 2020 maana wanaamini Trump administration inapambana na gaidi Iran.
Hizi hapa ni baadhi ya tweets za trump kipindi cha uongozi wa Obama.
Trump alikuwa akimtuhumu Barack kuwa alikuwa akijitafutia umaarufu wa kisiasa kupitia mgogoro wa US na Iran, kitu ambacho ndio anakifanya yeye sasa hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app