The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,003
- 3,269
Kwa utafiti gani uliofanya we hidaya?Uchambuzi wako umekosa hoja muhimu Moja kuu uneongelea hama hama ya wabunge na madiwani kwa chadema umesahau Lowassa effect kuwa kuhama kwake kahama na sehemu kubwa ya wale wapiga kura milioni sita wake ambao asilimia zaidi ya themanini walipigia kura chadema sababu ya Lowassa kwenye mikoa yenye walutheri Wengi.Hawakupigia kura chadema sababu wanaipenda Chadema Bali sababu walimpenda Lowassa mikoa yenye walutheri wengi kama Kilimanjaro,Arusha,manyara,Mbeya,Dar es salaam Tanga na Momba na morogoro