chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,380
- 5,871
Makosa katika huu uchambuzi,ambayo yansonyesha kuwa mchambuzi kaegemea upande wa chama tawala
A)JPM anakubalika
B)ZZK na TL ni vibaraka wa wazungu..
C)ACT ni chama cha waislamu
JPM hakubaliki kwa sasa,amepoteza mvuto kwa Watanzania wengi,maisha magumu mitaani,hakuna mzunguko wa Pesa..
Ideology yake ya kuwa Utajiri ni Ubepari,Maendeleo ya Vitu ni bora kuliko Maendeleo ya Watu haikufanikiwa,sasa,inamugharimu..
Nionavyo ona mimi ZZK ana anaamini uwazi (transparency)katika kuongoza,hii haimfanyi kuwa yeye kibaraka,kwavile CCM haiamini katika ideology hiyo..
TAL anamini katika utawala wa Sheria na Haki za Binaadamu katika kuongoza,kwavile CCM haiamini ideology ya utawala wa Sheria na Haki za Binadamu haimfanyi TAL kuwa kibaraka wa Wazungu..
Kwasababu hizi ndio nimeona kuwa wewe mchambuzi ni KADA wa CCM!!