Nyuma ya pazia Marufuku ya shamrashamra kwenye uchukuaji wa fomu Serikali za Mitaa

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,517
8,760
UMOFIA KWENU.

CCM ni wajanja sana aisee, hii marufuku ya Shamrashamra kwenye kuchukua fomu za wagombea nafasi Serikali za mitaa ina lengo kuu 1.

Kimya kimya maana yake anapaswa kwenda mgombea pekee sasa hapo ndo msiba ulipo make watendaji wa kata watafunga ofisi na kutokomea na funguo

Kwa shamra shamra maana yake watu wakienda wengi inakuwa ni ngumu sana kwa mtendaji kukimbia offisi.

Subirini muone offisi zitakavyo kimbiwa n watendaji kata.

CCM wana hofu na nini?
Wana police, wana tume, wana mahakama, wana jiwe ila still wanaogopa mno
 
Kwanini vyama vya upinzani vinasubiri Hadi siku ya mwisho ya kurudisha fomu???

Jazani fomu mapema na mrudishe kwa wakati sio kulalamika kwa Kila kitu
Nani kakwambia kuna uchaguzi unaostahili kuitwa uchaguzi chini ya Jiwe?
 
Mkuu mambo yatakuwa kimya kimya. Hapo ndo CCM wanapo taka kuchukulia point 3 kwa watendaji kukimbia ofisi
Kwanini vyama vya upinzani vinasubiri Hadi siku ya mwisho ya kurudisha fomu???

Jazani fomu mapema na mrudishe kwa wakati sio kulalamika kwa Kila kitu
 
Haijawai tokea raisi mkosa maarifa, ujuzi na mwelekeo kaa huyu tunaye sasa, hajui lolote, mtu ambae washauri wake ni kina makonda na pole pole huyu mtu lazima awe na matatizo ya akili.Jiwe anafikiria pale akiua upizani ndio tanzania itakuwa taifa no 1 dunmiani kiuchumi hata marekani watosoma namba wakati upizani utaisha hapa kwetu bongo, ujinga wa ajabu sana, jiwe abadilise katiba na tz iwe UFALME kaa saudi arabia ndio jiwe na jamii yake waongoze pamoja na marafiki wake
 
Nimecheka sana hapo mtendaji kufunga ofisi hawa jamaa wanaweza fanya ivo maana hawana(ga) akili nzuri
 
Jana nilisema kitendo cha JAFO kusema hakuna shamrashamra alikuwa anamanisha hivi
20191029_122642.jpeg
 
UMOFIA KWENU.

CCM ni wajanja sana aisee, hii marufuku ya Shamrashamra kwenye kuchukua fomu za wagombea nafasi Serikali za mitaa ina lengo kuu 1.

Kimya kimya maana yake anapaswa kwenda mgombea pekee sasa hapo ndo msiba ulipo make watendaji wa kata watafunga ofisi na kutokomea na funguo

Kwa shamra shamra maana yake watu wakienda wengi inakuwa ni ngumu sana kwa mtendaji kukimbia offisi.

Subirini muone offisi zitakavyo kimbiwa n watendaji kata.

CCM wana hofu na nini?
Wana police, wana tume, wana mahakama, wana jiwe ila still wanaogopa mno
Lazima utaratibu ufuatwe; shamrashamra muda wa kampeini.
 
Back
Top Bottom