Nyuki wema, nyuki wabaya!

Mshana Jr nakumbuka kwetu miaka hiyo ukiwa unaenda mahali halafu nyuki akawa anakuzunguka ukiwa njiani wanasema kuwa ni bahati utafanikiwa huko unakokwenda. Kweli haya mambo ya kibantu wakati mwingine hakuna kuyapuuza.
 
Tatizo nyuki wa Dizaini hiyo ambao wanatengenezwa na kina mkuu Mshana
na Likudi wanaweza kufufukia tumboni, wakaligeuza tumbo kuwa Mzinga ingawa
unaweza kupata faida ya kutoa haja kubwa ya masega na kukojoa asali
Duuh!!
Gazeti umenifanya nicheke kwa sauti kubwa sana iseee. JF raha sana...
 
Mshana niendelee kutumia tu hio chumvi kwa shughuli zote hizo hadi tatizo Liishe? Niliacha kutumia kwasababu muda mwingi sipati usingizi nashinda nikiwa mchovu
 
Mshana niendelee kutumia tu hio chumvi kwa shughuli zote hizo hadi tatizo Liishe? Niliacha kutumia kwasababu muda mwingi sipati usingizi nashinda nikiwa mchovu
Yes usiache endelea hata kwa mwezi mmoja
 
Sasa naitumiaje mshanar Jr naomba nieleze japo kwa ufupi: nilazima ikolee sana kwenye maji au kijiko kimoja kwenye kindoo"
 
Back
Top Bottom