Nyuki watawanyisha mazishi Moshi Vijijini,

mnyinda

JF-Expert Member
Sep 25, 2012
277
64
Nyuki wametawanisha masishi baada ya waombolesaji waliokuwa katika ibada ya masishi kuanza kung'atwa na nyuki
nyuki hao wameleta madhara makubwa kiasi ambacho baadhi ya watu wamekimbizwa Kibosho hospital.

Pamoja na madhara mengine vyakula vyote vilivyokuwa vimeandaliwa vimeachwa baada ya watu kukimbia.
 
Tunashukuru kwa taarifa,ila rudi darasani ukajifunze kiswahili upya.!
 
mkuu hii ni hatari kwenye "zwa"wanaweka "swa" kwenye "zi" wanaweka "si" huko inaonekana walimu wageni wanakazi ngumu sana.
Ndio kazi ya Uandishi wa Habari za jamii Forum tunatumia simu za viganjani hata nyuki akikuuma unawahi mradi habari ifike na kueleweka
Itabidi tuwena Proof Editor maana wengine mpaka kuingia Internet cafe tumeacha na simu zetu za Mchina herufi mpaka miwani hazina kitufe cha Proofreading au Grammer
Namshukuru mleta Mada Ujumbe umefika wewe komalia sasa na picha watu waamini
 
Nyuki wametawanisha masishi baada ya waombolesaji waliokuwa katika ibada ya masishi kuanza kung'atwa na nyuki
nyuki hao wameleta madha makubwa kiasi ambacho baadhi ya watu wamekimbiswa kibosho hospital

pamoja na madhara mengine vyakulavyote vilivyokuwa vimeandaliwa vimeachwa baada ya watu kukimbia,

LOL..., aisee baba angu CHUWA, rudi darasani kajifunze kiswahili kwanza!
Hata mbeKe ya MASISHI hukuweza kuonja..??!
 
Masishi ni kitu gani jamani. Eti naye huyu mtoa hoja ni mtanzania asiyejua hata lugha yake ya taifa! Kalagabaho mie simo!
 
Poleni sana meku, haienyi ndao.
Ina maana hata pombe iliyokuwa imeandaliwa ikaachwa? Masichi hayakuwa na baraka.
 
babu na wewe siku hizi mgomvi! Mbona kina snowhite na FP wanasemaga ntu na unamezea?
Mwanangu King'asti usikonde. Hao akina Snowhite na FP hawajatua kwenye darubini yangu. Wakitua nawasha bila kujali ni Snow Black au PF 3. Hivyo usiwe na shaka. Nadhani wamesikia na watajirekebisha kabla sijawashukia kama mwewe na vifaranga.
 
Nyuki wametawanisha masishi baada ya waombolesaji waliokuwa katika ibada ya masishi kuanza kung'atwa na nyuki
nyuki hao wameleta madha makubwa kiasi ambacho baadhi ya watu wamekimbiswa kibosho hospital

pamoja na madhara mengine vyakulavyote vilivyokuwa vimeandaliwa vimeachwa baada ya watu kukimbia,

Umejaribu kuiga lafudhi yetu lakini bado umekosea, haswa humo kwenye red.
 
Nyuki wametawanisha masishi baada ya waombolesaji waliokuwa katika ibada ya masishi kuanza kung'atwa na nyuki
nyuki hao wameleta madha makubwa kiasi ambacho baadhi ya watu wamekimbiswa kibosho hospital

pamoja na madhara mengine vyakulavyote vilivyokuwa vimeandaliwa vimeachwa baada ya watu kukimbia,
Sasa mnyinda, hujaema hiyo maiti kama ilisikwa au iliachwa kwenye jenesa mpaka lini. Hebu malisia habari baba angu.kiruu
 
Last edited by a moderator:
Mnyinda usijali kama hiki hiswahili ndio unatumia kubembeleza wateja na wananunua vitu dukani hamna shida ila meku watoto wakasome mbali na nyumbani ili wasiige.Meku inawezekana mbege ilikuwa tamu tamu sana ndio ikavuta nyuki.
 
hiyo mbege iliyotishwa ilikuwa haijakatika .... hao nyuki walifuata kifuo
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom