Nyota ya uzazi inavyotesa mahusiano yangu

Baba jayaron

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
2,197
2,000
Yaani unaleta kitu cha wiki upo serious na mapenzi kweli? Halafu unasema umetoka kwenye ndoa ? Wewe inaonekana haujielewi ndiyo maana mkeo kakukimbia kwa akili hizi lazima mwanamke akimbie nenda waulize wazazi wako watakupa uzoefu.
Akili hizi hizi ningezaa na mama yako
 

Baba jayaron

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
2,197
2,000
Yani ukiwa huwajui watahangaisha sana akili yako
Aiseeeh jana nimemwagiwa kilio balaa nikasema subiri basi uzae kwenye ndoa anasema sitomuoa leo wa kesho hivo anataka mtoto nkamwambia usidhani nirahisi aAngalie maisha yake asubuhi nimechuniwa mpaka sasa namuangalia tuu
 

Baba jayaron

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
2,197
2,000
we jamaa unaanzisha mahusiano kwanini? ili umsahau ex-wife wako au ili kuendeleza familia.... fumbua hilo fumbo kwanza.
Mkuu familia nilishaanzisha ikafeli now am just want kukidhi tamaa zangu na sijazoea kununua malaya hivo inanibidi nianzishe mahusiano ya mpito sema ndo nakutana na wanawake wa namna hii.
japo ni namna inanisaidia kupunguza upweke ninaousikiaga kipindi ichi sina mke
 

Baba jayaron

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
2,197
2,000
Mama alikuwa akili kubwa, unazani mjinga kama wewe kwenye familia yetu angekula konzi zakutosha mpaka aote uparaza, mwanaume mzima anaweza leta ujinga kama huu ? Hasara kwa mama yako!
kamaa huu uzi ni wawajinga mwerevu usinge comment...
Ila na wewe mama ako angekua na akili si angezaa na mwinyi saa hizi ungekua rais??? Sasa hapo ulipo hata kwenye ukoo hutambuliki
 

Baba jayaron

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
2,197
2,000
Kuna mahali unasema.... MKEO mmezaa watoto wawili kwa "Ridhaa yenu".. Kwamba ( yeye ndo alopenda Zaidi)


Swali kwako, Je MKEO asingependa, wewe hukuwa tayari kuzaa ??
Wakati tunaanza mahusiano baada ya miezi nne akaniomba nimzalishe kipindi ambacho sikua tayari wala mpango wa kuzaa kabla ya ndoa, alinisihi kwa mapenzi nilikubalai,

Nikamtambulisha nyumbani nikaanza kuishi nae baada ya mwaka na nusu ndipo nikaenda kwao kulipa mahari na kufunga ndoa, siku niliyolipa mahari kwa furaha zake akanitegeshea mtoto wa pili kwasababu nilimweleza kuna mazingira mazuri kwa watoto wetu hatujatengemaa hivyo hatuwezi kuzaa watoto wengine zaid.. nikampeleka clinick kufunga kizazi.
Umelata logic yangu sasa?
 

Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
16,856
2,000
huyu anahitaji mimba ili ajihakikishie ataolewa.

Anatumia mbinu ya PMU.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom