Nyota ya uzazi inavyotesa mahusiano yangu

Kufunga kizazi? njia gan hiyo ya uzazi mpango ?

Je unaposema, ulimwambia ,hamuwezi kuzaa watoto wengine Zaidi...maana yako ilikua ni hutaki kuzaa tena yaan umetosheka na watoto wawili???? Au huko baadae mngezaa ???.


Ex Wife wako ana umri gani sasa??
Kunakitu wanawekewa kwenye nyumba ya uzazi tulichagua cha 12 yrs ila hata kabla unaweza kitoa abebe mimba.

tungeweza kuzaa baadae angalau mmoja au wawili tena baada yakufikisha malengo niliyoyapanga kwa familia yangu.
Umri wake kwa sasa ni kati ya 30-35
 
Halafu mi namshangaa huyu jamaa,.. Keshasema mwanamke ana sifa zote za kuitwa mke, sasa anasubiri nini uyu jamaa panya nini uyu...
Ha ha haaa mkuu umeniita mi panya kweli? Wanaigizaga hao si wakweli na uzuri watoto nnao ndoa na ijua unadhani anakipi kipya!?
 
Hu ni uhusiano wa tano au zaid tangu nijaribu kumsahau xwife wangu, na yote niliyavunja sababu ya kudaiwa mtoto ila kwa huyu imenigusa kidogo kutokana na haiba yake, namna anavyojiona hana bahati kutokua na mtoto mpaka umri huo.




Hapa unakiri kua ni uhusiano wako wa Tano au Zaidi...... Yaan baada ya kuachana na MKEO , ambapo unakiri wazi kua ni "MUDA MFUPI" ....

ila tayari umeshaanza mahusiano Zaidi ya matano, nayote wakwanza mpaka wangapi huko, wanataka uwape mimba ?? NIKWAMBA wee ndio unawakimbia ???.


Ila huyu Mpare , unamuonea huruma. Sababu kaenda Age..... Analalama kufika 30 bila mtoto...


Duuhh
Kumbuka ni mahusiano yakutuliza nyege tuu na si vinginevyo
 
Mzee fanya kama wafugaji vile, jike akiwa kwenye joto anaenda kupandishwa..

Mpare wako akiwa siku za hatari, mlete nimsukumie guu la jini..

Masihara pembeni, muoe umpe hitaji la moyo wake kama unampenda kweli, kama unahisi unaweza pita hivi, muache kabisa.
 
Tatizo ni umri. Hiv unatoka na mwanamke wa miaka 30 au zaid na hajawai pata mtoto, hapo unategemea akuombe nn tena?
 
Mwanamke akikuambia nataka unipe mimba jua hakupendi anakutega akuache

Mwanamke anayetaka mimba hakuambii kamwe yeye anakutega tu akiwa kwenye hatari afyatue


Elewa jamaa
 
Mwanamke akikuambia nataka unipe mimba jua hakupendi anakutega akuache

Mwanamke anayetaka mimba hakuambii kamwe yeye anakutega tu akiwa kwenye hatari afyatue


Elewa jamaa
Inawezekana pia japo mimi kivyovyote haiwezekani
 
Mzee fanya kama wafugaji vile, jike akiwa kwenye joto anaenda kupandishwa..

Mpare wako akiwa siku za hatari, mlete nimsukumie guu la jini..

Masihara pembeni, muoe umpe hitaji la moyo wake kama unampenda kweli, kama unahisi unaweza pita hivi, muache kabisa.
Ngoja nipite hivi nikuachie umpige guu la jino mkuu
 
Unajua we jamaa mpaka sasa bado sijajua sababu za kukataa mtoto?, unakataa kwasababu unao wawili au unakataa kwasababu maisha magumu kulea hutaweza? Au unakataa kwasababu hutaki kuachiwa watoto tena?
kama watazaa waniachie sio shida, shida wanang'ang'ania ili wakusumbue na mambo ya child support na ujinga mwingi kitu ambacho kita haribu malezi ya watoto wangu.
 
Back
Top Bottom