Nyota ya Hichilema yazidi kung'ara , aitwa Bunge la Marekani , World Bank , aonana pia na maofisa wa EU na IMF

View attachment 1952325

Wakati viongozi wengine kutoka nchi za kidikteta barani Africa wakirejea makwao mikono mitupu , kutokana na kupuuzwa na Jumuiya za kimataifa kwa sababu ya unyama unaotendwa nchini mwao na uminyaji wa Demokrasia na haki za binadamu , Rais wa Zambia Mh Haikainde Hichilema kwake mambo ni tofauti kabisa .

Hichilema yeye baada ya kutoka WHITE HOUSE , akaitwa bunge la USA kwenye kamati ya mambo ya nje ya seneti , kama haitoshi ameitwa World Bank , akavutwa pia kuonana na maofisa wa juu wa EU , na kwa kumalizia ametinga IMF .

Mungu ibariki Zambia
Puppet on a string
 
Umeanza vizuri ila ukaharibu mwishoni ukaharibu kwa kusema wachina wana nia nzuri na waafrika. Wachina ni wezi na matapeli wenye sura ya upole tofauti na mabeberu. Wazambia wako hoi kwa madeni ya mchina. Isitoshe mchina anaendelea kujimilikisha nchi ya Zambia. Hadi kwenye miji midogo mchina anajenga malls ambazo kiukweli zinawavuruga sana wazawa kwa maana ya unfair competition. Hichilema awe mjanja kucheza karata yake vizuri ili aiondoe Zambia kwenye mikono ya wachina. Kwenye kampeni zake HH alisema atadili na madeni kwanza.
Hechillema kifupi amepewa mzigo na utawala uliopita lazima aendelee kuwapigia wazungu magoti kama watangulizi wake ambao walikuwa watawala wa mabavu. Namfananisha hichelema kama Mke aliyefiwa na mume amebaki mjane analia hajui familia ataiendeshaje
 
Akitokea kiongozi anayejitambua USA lazima waangalie namna ya kulinda msalahi yao, so siyo issue ya eti kuonana na wabunge bali ni wao kuona maslahi yao yanavyolindwa.

Kwa Dkt Magufuli ukikumbuka walikuja hawa wabunge mpaka ikulu ya DSM, wakatema nyongo zao ila Dkt Magufuli akawaambia lazima Tz ifaidike
Ikafaidika Vipi hiyo danganyika yenyewe?
 
View attachment 1952325

Wakati viongozi wengine kutoka nchi za kidikteta barani Africa wakirejea makwao mikono mitupu , kutokana na kupuuzwa na Jumuiya za kimataifa kwa sababu ya unyama unaotendwa nchini mwao na uminyaji wa Demokrasia na haki za binadamu , Rais wa Zambia Mh Haikainde Hichilema kwake mambo ni tofauti kabisa .

Hichilema yeye baada ya kutoka WHITE HOUSE , akaitwa bunge la USA kwenye kamati ya mambo ya nje ya seneti , kama haitoshi ameitwa World Bank , akavutwa pia kuonana na maofisa wa juu wa EU , na kwa kumalizia ametinga IMF .

Mungu ibariki Zambia
Apewe Tuzo ya Nobel ya amani # Ni shujaa wa Afrika# Ana vaa viatu vya Nelson Mandela
 
Wewe pia una propaganda. Tembelea Zambia ujionee Mchina aliyoyafanya ndo uje na utetezi wako. Halafu tumia lugha moja unapoandika comment.
FYI, I know Zambia like back of my hand - nimewahi kufanya kazi na kuishi huko, nawambieni acheni kusikiliza adithi za kubuni za media za magharibi na wapambe wao - kama kuna baadhi ya Wazambia wanao wasema vibaya Wachina basi bila shaka hao hawajui vizuri historia ya Taifa lao au are plain ungrateful chimeras paid troll designed to demonize Chinese - tuwe wakweli hapa, sahau political rhetoric za baadhi ya viongozi wa Kiafrika bendera fuata upepo - wakumbuke kwamba Dunia inapokwenda Wachina hawakwepeki, ni suala la muda tu atakuta Rais Hachilema na washauri wake wanakimbilia China kutembeza bakuli baada ya kutoswa na mataifa ambayo anayaona ni bora kuliko China.
 
Here we go again - emulating western dirty propaganda about China and her leaders.

Mambo mengine bwana-yaani waswahili wanaona mikopo ya mabeberu ni balabala lakini mikopo ya Wachina ni hatari - kisa? Vyombo vya habari vya magharibi vimekaririsha Waafrika kuami ni hivyo mabeberu are still stuck in by gone cold war mentality where western Nations were preaching evil of communism/socialism and blessing of CAPITALISM - ndicho kinacho endelea mpaka sasa mabeberu wana tisha tisha waafrika kuhusu ujio wa Wachina barani Afrika.
Tunaomba mfano wowote wa Taifa lolote lililonufaika na wachina
 
FYI, I know Zambia like back of my hand - nimewahi kufanya kazi na kuishi huko, nawambieni acheni kusikiliza adithi za kubuni za media za magharibi na wapambe wao - kama kuna baadhi ya Wazambia wanao wasema vibaya Wachina basi bila shaka hao hawajui vizuri historia ya Taifa lao au are plain ungrateful chimeras paid troll designed to demonize Chinese - tuwe wakweli hapa, sahau political rhetoric za baadhi ya viongozi wa Kiafrika bendera fuata upepo - wakumbuke kwamba Dunia inapokwenda Wachina hawakwepeki, ni suala la muda tu atakuta Rais Hachilema na washauri wake wanakimbilia China kutembeza bakuli baada ya kutoswa na mataifa ambayo anayaona ni bora kuliko China.
Wewe ni debe tupu hakuna kitu unajua. Shut up
 
Kusafiri nawatu watatu sio Jambo dogo kwanchi kamahizi za kiafrika, yule rais wabahati mbaya alibeba Hadi wajukuu uwanawake wake unatumika vibaya sana
 
View attachment 1952325

Wakati viongozi wengine kutoka nchi za kidikteta barani Africa wakirejea makwao mikono mitupu , kutokana na kupuuzwa na Jumuiya za kimataifa kwa sababu ya unyama unaotendwa nchini mwao na uminyaji wa Demokrasia na haki za binadamu , Rais wa Zambia Mh Haikainde Hichilema kwake mambo ni tofauti kabisa .

Hichilema yeye baada ya kutoka WHITE HOUSE , akaitwa bunge la USA kwenye kamati ya mambo ya nje ya seneti , kama haitoshi ameitwa World Bank , akavutwa pia kuonana na maofisa wa juu wa EU , na kwa kumalizia ametinga IMF .

Mungu ibariki Zambia
Huyu ndio amejitoa kusaidia wananchi wake

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Great thinker kumbe umetudanganya, chief naye alikutana na World Bank
IMG_20210930_232159.png
 
Hamna kitu hapo Erythrocyte huelew kuwa Zambia ilikuwaga chin ya himaya ya nch za magharibi ikaja ikaporwa na Chinese sasa wanajaribu kurudisha ushawishi wao pamoja na himaya yao iliyotekwa na Chinese
 
View attachment 1952325

Wakati viongozi wengine kutoka nchi za kidikteta barani Africa wakirejea makwao mikono mitupu , kutokana na kupuuzwa na Jumuiya za kimataifa kwa sababu ya unyama unaotendwa nchini mwao na uminyaji wa Demokrasia na haki za binadamu , Rais wa Zambia Mh Haikainde Hichilema kwake mambo ni tofauti kabisa .

Hichilema yeye baada ya kutoka WHITE HOUSE , akaitwa bunge la USA kwenye kamati ya mambo ya nje ya seneti , kama haitoshi ameitwa World Bank , akavutwa pia kuonana na maofisa wa juu wa EU , na kwa kumalizia ametinga IMF .

Mungu ibariki Zambia
Kuonana na hao watu ndo nyota kung'aa? Sio kwamba shetani anamtaftia angle nzuri ili amtafune
 
Back
Top Bottom