Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,035
- 6,907
Hatujaelemewa kama ZambiaWewe/nyie hamna madeni? Je hamtaki kufutiwa madeni? Au sizitaki mbichi hizi, maneno ya sungura.
Hatujaelemewa kama ZambiaWewe/nyie hamna madeni? Je hamtaki kufutiwa madeni? Au sizitaki mbichi hizi, maneno ya sungura.
HakikaAngeitwa angaya maandamano yangefanyika nchi nzima
Niliwahi tabiri kitu kama hichi hata kwa nchi yetu:
Tundu Lissu akishinda urais, mikopo na hasa misaada, itaongezeka kutoka kwa Wahisani wa Maendeleo
Huu ndio utabiri wangu kuwa,Lissu akishinda uraisi na kutangazwa mshindi kwa mbinde au vinginevyo, nchi wahisani na wadau wengine wa maendeleo wataongeza misaada na mikopo yao kwa nchi yetu na inaweza kuongezeka hata mara mbili. Ni imani yangu wanatoa mikopo na misaada kwa sasa kwasababu tu...www.jamiiforums.com
Hapana unatenda dhambi mkuu, alienda na EmiratesMwulize Hangaya akwambie nani kalamba dume kwa kwenda UN.
Hichilema katimba huko akitumia Qatar Airways na delegation ya mtu 3:
Zambia’s President leaves for New York on commercial flight with three delegates | The Citizen
Hangaya na dreamliner bila shaka moja Msigwa ndani na timu ya wawekezaji wa ndani kwenda kukutana na mwekezaji Mange.
Hangaya kaenda kusoma takwimu za Corona za UN, hana jipya, hana sera wala agenda; kapuuzwa.
Hangaya kakumbwa na aibu ya karne ya kudaiwa haki na demokrasia visivyokuwapo nchini:
View attachment 1952379
Hichilema huko ndiyo habari ya mjini. Kama vipi hata mkijinyonga haitakuwa mbaya sana.
Tanzania ya kuheshimiwa ilikuwa hii:
View attachment 1952382
Eti Tanzania ni ile ile. Tanzania ile siyo hii.
Mnakera!
Ngoja tumsubiriHana anachojua huyo
View attachment 1952325
Wakati viongozi wengine kutoka nchi za kidikteta barani Africa wakirejea makwao mikono mitupu , kutokana na kupuuzwa na Jumuiya za kimataifa kwa sababu ya unyama unaotendwa nchini mwao na uminyaji wa Demokrasia na haki za binadamu , Rais wa Zambia Mh Haikainde Hichilema kwake mambo ni tofauti kabisa .
Hichilema yeye baada ya kutoka WHITE HOUSE , akaitwa bunge la USA kwenye kamati ya mambo ya nje ya seneti , kama haitoshi ameitwa World Bank , akavutwa pia kuonana na maofisa wa juu wa EU , na kwa kumalizia ametinga IMF .
Mungu ibariki Zambia
Mbona mnashangaza sana - nani kawambieni Rais Samia alikwenda Merikani kutembeza bakuli la kuomba misaada!!!Wewe siyo mtu mzuri hata kidogo. Unajua unawaumiza sana mioyo ujumbe wa Tanzania ukizingatia walifanya kampeni kubwa sana ili rais Samia aalikwe sehemu kama hizo?
HahaaaaKabla ya hapo Guiterez alikutana na Taliban
Bakuri 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Mbona mnashangaza sana - nani kawambieni Rais Samia alikwenda Merikani kutembeza bakuri LA kuomba misaada!!!
Mbona mnataka kuchukulia mkutano huo kama ulikuwa una lengo la kukutanisha Donor Countries na third World?
Kwi Kwi KwiMbona mnashangaza sana - nani kawambieni Rais Samia alikwenda Merikani kutembeza bakuli la kuomba misaada!!!
Mbona mnataka kuchukulia mkutano huo kama ulikuwa una lengo la kukutanisha Donor Countries na third World?
Umeanza vizuri ila ukaharibu mwishoni ukaharibu kwa kusema wachina wana nia nzuri na waafrika. Wachina ni wezi na matapeli wenye sura ya upole tofauti na mabeberu. Wazambia wako hoi kwa madeni ya mchina. Isitoshe mchina anaendelea kujimilikisha nchi ya Zambia. Hadi kwenye miji midogo mchina anajenga malls ambazo kiukweli zinawavuruga sana wazawa kwa maana ya unfair competition. Hichilema awe mjanja kucheza karata yake vizuri ili aiondoe Zambia kwenye mikono ya wachina. Kwenye kampeni zake HH alisema atadili na madeni kwanza.Ushauri wangu Hichilema hasijisahau sana kwa kudhani Wazungu wana nia njema ya kuiendekeza Zambia kiuchumi,viwanda na infrastructure - taifa pekee Duniani lenye lengo zuri la ku-help Africans to help themselves ni Uchina tu, wengine ni wasanii.
Here we go again - emulating western dirty propaganda about China and her leaders.Umeanza vizuri ila ukaharibu mwishoni ukaharibu kwa kusema wachina wana nia nzuri na waafrika. Wachina ni wezi na matapeli wenye sura ya upole tofauti na mabeberu. Wazambia wako hoi kwa madeni ya mchina. Isitoshe mchina anaendelea kujimilikisha nchi ya Zambia. Hadi kwenye miji midogo mchina anajenga malls ambazo kiukweli zinawavuruga sana wazawa kwa maana ya unfair competition. Hichilema awe mjanja kucheza karata yake vizuri ili aiondoe Zambia kwenye mikono ya wachina. Kwenye kampeni zake HH alisema atadili na madeni kwanza.
Wewe pia una propaganda. Tembelea Zambia ujionee Mchina aliyoyafanya ndo uje na utetezi wako. Halafu tumia lugha moja unapoandika comment.Here we go again - emulating western dirty propaganda about China and her leaders.
Mambo mengine bwana-yaani waswahili wanaona mikopo ya mabeberu ni balabala lakini mikopo ya Wachina ni hatari - kisa? Vyombo vya habari vya magharibi vimekaririsha Waafrika kuami ni hivyo mabeberu are still stuck in by gone cold war mentality where western Nations were preaching evil of communism/socialism and blessing of CAPITALISM - ndicho kinacho endelea mpaka sasa mabeberu wana tisha tisha waafrika kuhusu ujio wa Wachina barani Afrika.
Hizi hakili buana sijui vp tu , nyota inang'aa au wanamhitaji ili kum-convert aendane na matakwa yaoView attachment 1952325
Wakati viongozi wengine kutoka nchi za kidikteta barani Africa wakirejea makwao mikono mitupu , kutokana na kupuuzwa na Jumuiya za kimataifa kwa sababu ya unyama unaotendwa nchini mwao na uminyaji wa Demokrasia na haki za binadamu , Rais wa Zambia Mh Haikainde Hichilema kwake mambo ni tofauti kabisa .
Hichilema yeye baada ya kutoka WHITE HOUSE , akaitwa bunge la USA kwenye kamati ya mambo ya nje ya seneti , kama haitoshi ameitwa World Bank , akavutwa pia kuonana na maofisa wa juu wa EU , na kwa kumalizia ametinga IMF .
Mungu ibariki Zambia
Athari za hayo mabango huwezi kuyaona kwa sasa time will tellMama karudi Mbowe yuko ndani na mabango hayajasaidia kitu