Nyota wa Kikapu Marekani atoa Msaada Monduli kwa Lowassa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyota wa Kikapu Marekani atoa Msaada Monduli kwa Lowassa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kivumah, Aug 17, 2011.

 1. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  [​IMG]
  Nyota wa mchezo wa kikapu nchini Marekani anayechezea timu ya Orlando Magic,Dwight Howard ambaye pia ni mkurugenzi wa taasisi ya D12 Foundation akiwa na mbunge wa jimbo la Monduli mkoani Arusha na Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa(Kushoto) pamoja na mkewe,Regina Lowassa mara nyota huyo alipotembelea shule ya sekondari ya wasichana ya Kipok iliyopo wilayani Monduli juzi na kutoa msaada wa kiasi cha fedha 90 milioni kwa lengo la kusaidia ujenzi wa mabweni ya wanafuzi shuleni hapo.
   
 2. enhe

  enhe JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 933
  Likes Received: 402
  Trophy Points: 80
  Hasheem wetu anamwaga pesa disco watu wanagombania hahahahaha.......duniani kuna watu na viatu!!!
   
Loading...