Ndani ya dk 90Hii game haina cha draw ... Lazima mshindi apatikane hata kwa MATUTA.
Halafu?Ndani ya dk 90
Betting ni matokeo ndani ya dk 90'. Extra time,panalties hazihusiki.Halafu?
Ok, mi sio mdau kipande ya kubet, basi inabidi wa.update ili waingize extra time na penalties!Betting ni matokeo ndani ya dk 90'. Extra time,panalties hazihusiki.
Nadhan wanaamin mpira ni dk 90' tu hata hvyo kwenye dk 90 unapata matokeo yote matatu,kushinda,kufungwa na kusuluhu.Ok, mi sio mdau kipande ya kubet, basi inabidi wa.update ili waingize extra time na penalties!
FA hii haina draw!Ch- 3+8++22=33
TOT=20+15+22=57
Namba zote ni witiri , hivyo hiyo game naipa draw .
Kwa hiyo ulijua kuwa watatoka droo mpaka kwenye matutaHii game haina cha draw ... Lazima mshindi apatikane hata kwa MATUTA.
Namba 8 kwa Chelsea na namba 15 kwa spurs umeipataje?Ch- 3+8++22=33
TOT=20+15+22=57
Namba zote ni witiri , hivyo hiyo game naipa draw .
Herufi za hayo majina zina badilika kuwa namba mfano A=1 mpaka z= 26Namba 8 kwa Chelsea na namba 15 kwa spurs umeipataje?
Nalijua hilo ndo maana Chelsea kuna 3 kwa maana ya c but sijajua 8 kaitoa wapiHerufi za hayo majina zina badilika kuwa namba mfano A=1 mpaka z= 26
HNalijua hilo ndo maana Chelsea kuna 3 kwa maana ya c but sijajua 8 kaitoa wapi
Namba 8 kwa Chelsea na namba 15 kwa spurs umeipataje?
Fafanua H inatoka wapi ? Chelsea ni C ambayo ni 3 but kajumlisha na 8 halafu na tarehe . swali nane imetoka wapi?