Nyoosha mkono nikujibu

cha1509

JF-Expert Member
Jul 6, 2018
258
402
Stalin baada ya kifo chake alirithiwa na Nikita Khrushchev. Siku mmoja akiwa anahutubia Kamati Kuu huku akipinga sera nyingi ya mtangulizi wake, Mjumbe mmoja bila ya kujitambulisha alikereka na akamundikia ki note cha kumshutumu na kumlaumu, "We Nikita ulikua msaidizi wa Stalin, kwanini hukusema haya kipindi hicho Stalin akiwa hai?"

Khrushchev akakisoma na akaomba Mjumbe aliyeandika anyooshe mkono juu amtambue ili amjibu. Hakukuwa mkono ulionyooshwa. Khrushchev akasema: "kinachokushinda wewe kunyoosha mkono leo, ndo hicho hicho kilichonishinda mimi kusema enzi hizo"
 
Si unaiona Mama anavyopatia? Yaani tukagawane ka Keki/ka Sungura wote na si kudanganyana kuwa unatupenda na kutupatia majina ya "masikini au wan...e" kumbe kuna kakundi Kadogo kanafaidika na wengi wanaumia na wao bila kujijua wanashangilia kama Mazuzu.
 
Si unaiona Mama anavyopatia? Yaani tukagawane ka Keki/ka Sungura wote na si kudanganyana kuwa unatupenda na kutupatia majina ya "masikini au wan...e" kumbe kuna kakundi Kadogo kanafaidika na wengi wanaumia na wao bila kujijua wanashangilia kama Mazuzu.
Ya ngoswe....
 
Aisee watu mmefurahia sana kifo cha Joseph Stalin.
Hakika kifo cha Dikteta na mtu mkatili zaidi kuwahi kutokea duniani, Joseph Vodka Stalin, kimewafurahisha wananchi wengi sana aliowahi kuwaumiza enzi za utawala wake wa mabavu nchini Urusi.
 
tupo tunaopumua kwa kuiona ahueni, watu mpaka mitandaoni tulitishana tukisema ukweli, biashara tulifunga, ndugu walifukuzwa kazi kisa cheti, nyumba wengine walibomolewa wangine walisamehewa
Acheni tupumue maana isingekuwa mitano tena walijiandaa maisha
 

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom