Nyongo ya mamba yaua watu 50 nchini Msumbiji

Shy land

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
6,024
1,960
Walevi chini msumbuji wakipata cha mtema kuni baada ya kunywa kilevi cha pombe ya kienyeji ilichaganywa na nyongo ya mamba.

serikali nchini msumbiji imetaganza siku ya tatu za maombolezo nchi zima baada ya watu 50 kupoteza maisha kwa kilevi hicho, na watu wengine wamelazwa hospitiali ya taifa.

maafisa wamesema kuwa kilevi hicho cha kienyeji kilichotegenzwa kwa mtama na mahindi kilikuwa kumewekewa mchanganyiko wa nyongo ya mamba

sampuli za damu zawaathirika na pombe hiyo zimechukuliwa na maabara kuu ya nchi hiyo kwa uchunguzi zaidi wa kitaalamu.

hata hivyo mwanamke aliyetegeneza pombe hiyo pamoja na wezake ni moja kati za watu 50 waliofariki.

source;bbcnews
 
Kwa hiyo kesi imeisha hakuna wa kushtakiwa mtengenezaji naye marehemu.wapumzike salama wote
 
Back
Top Bottom