Nyongezaaaaa ya mshahara kwa waalimu

ongezeko la ln? nnavyojua waalim wote wanapata mshahara sawa labda kama kuna mabadlko mengine tuambiane mkuu?
 
Ualimu ni kupoteza muda tu..take home ya mwenye degree ni laki tatu na sitini.
 
walimu wa sayansi wanalipwa 985700/= in their dreams. Angalia TGTS/D1 MWAKA 2013/2014.
Umoja miongoni mwa walimu ni vigumu sana.
 
Huu upotoshaji umeanza mapena sana! Mwaka jana wa fedha ulitolewa waraka batili, ukawazuzua Waalimu wengi. Je mwaka ujao wa bajeti utakuwaje? Dreams never come true.
 
Back
Top Bottom