Nyongeza ya mshahara au ni nyongeza ya kawaida ya kila mwaka (increement)? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyongeza ya mshahara au ni nyongeza ya kawaida ya kila mwaka (increement)?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Aine, Aug 1, 2011.

 1. A

  Aine JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wana JF poleni na majukumu

  Nashindwa kuelewa kuhusu hiyo inayoitwa nyongeza ya mshahara ya mwaka huu, wataalam tusaidieni, hivi hii ni nyongeza ya kawaida ya mshahara ya kila mwaka au ni nyongeza ya mshahara kwa mwaka huu? Maana sielewi mfano, eti TGS A 1 aliyekuwa anapata shilingi 135,000/= sasa anapata shilingi 150,000/= kwa hiyo iliyoongezeka hapo yaani shilingi 15,000 ni nyongeza ya kila mwaka au kati ya hizo shilingi ngapi ni nyongeza ya mshahara kwa mwaka huu na shilingi ngapi ni nyongeza ya kila mwaka?

  Kwa anayejua vizuri atusaidie
  Nawasilisha
   
Loading...