Nyongeza ya Mishahara: Ni hisani ya Rais, haki ya Watumishi au ni takwa la kisheria kwa Watumishi?

Tangu lini huyo magu akafuata sheria!?

Kama ana uthubutu wa kuipuuza KATIBA ya nchi ambayo ndiyo nguzo kuu na muhimili wa sheria zote za nchi, sembuse hiyo sheria "uchwara" ya nyongeza za mishahara!

Hivi huyo jamaa yenu anajua hata maana ya katiba kweli!?

Maana tunaweza kuwa tunamlaumu bure kumbe ni ignorance tu!

Does he really understand the essence and sanctity of the Constitution and the laws of the land?

Maana naona anapuyanga kihuni huni tu kama mtu asiye na ufahamu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mwanadamu ni kiumbe wa ajabu sana. We unadai nyongeza wakati kuna watu lukuki wenye vyeti vyao na usomi wao hawajawahi hata kuitwa usaili wowote hata wa kuosha maiti?

Tuhurumiane jamani. Hebu tuombe Mola awakumbuke hao ambao wanasota na vyeti halali bila kazi wala mtaji wa kuanzisha biashara

Kwahiyo kama kuna watu lukuki wana vyeti ndio yeye asidai haki yake?
 
Kweli mwanadamu ni kiumbe wa ajabu sana. We unadai nyongeza wakati kuna watu lukuki wenye vyeti vyao na usomi wao hawajawahi hata kuitwa usaili wowote hata wa kuosha maiti?

Tuhurumiane jamani. Hebu tuombe Mola awakumbuke hao ambao wanasota na vyeti halali bila kazi wala mtaji wa kuanzisha biashara
Kwa hiyo kama kuna mtu hana ajira, mtu mwingine asipate stahiki zake?
 
Kweli mwanadamu ni kiumbe wa ajabu sana. We unadai nyongeza wakati kuna watu lukuki wenye vyeti vyao na usomi wao hawajawahi hata kuitwa usaili wowote hata wa kuosha maiti?

Tuhurumiane jamani. Hebu tuombe Mola awakumbuke hao ambao wanasota na vyeti halali bila kazi wala mtaji wa kuanzisha biashara
Unaonaje ukiishauri serikali iwalipe watumishi wote mafao yao bila kujali mtumishi lini ameajiriwa na iwasimamishe kazi ili iajiri upya wote ambao hawana ajira.

Je unajua kwamba pamoja na kua wapo vijana wengi ambao hawajaajiriwa ila bado wanaendelea kutegemea wazazi wao na nduguzo ambao wameajiriwa kwa mshahara uleule kuanzia 2015 bila hata nyongeza yaani msalaba juu ya msalaba na je unasemaje kama mishahara ingekua inaongezeka hawa ndugu zao si wangekua na uwezo wa kuwasupport hata katika kuwapatia mitaji.

Tatizo wakati tunasema watumishi wafunge mikanda ili tuweke uchumi sawa wapo watu mnakula kuku kwa mrija na ndo mnao shinda humu mkiwakebehi watumishi kwa kusema wazi kwamba mtumishi anaeona mshahara hautoshi aache kazi .Nami niseme walipeni mafao yao na muwaachishe kazi na muajiri upya wanaoona mshahara unatosha kwa nini muwakazanie waache kazi wenyewe ili mbaki na mafao yao? Au weken utaratibu kwamba anayetaka acha kazi aje na achukue mafao yake ndo mtaona kwamba watumishi wamechoka.

Maendeleo tunayataka sana tena sana ila amin nawambieni hatuwezi kuyapata au kuyafikia kama maslahi ya watumishi yanapigwa danadana maana hawa ndo watendaji wa kutufikisha huko na hakuna mtumishi alie zaidi ya mwingine wote wanategemeana na ndo maana wakati mnasema nidhamu kwa watumishi imerudi ipo nidham ya woga tu huku ndani kazi zinalipuliwa siku ziende hawaumizi kichwa ukitaka data flani unapikiwa unatumiwa
 
Namfahamu mwalimu aliyetumika miaka 33 na akastaafu mwaka 1996. Leo akiwa na umri wa miaka 79 anapewa pensheni ya shilingi 100,000 kwa mwezi. Je, zitamtosha kula, kusafiri, kulipa kodi ya nyumba nk yeye na familia yake? Yeye hakuwa fisadi kwa hiyo hajalimbikiza mali
 
Kweli mwanadamu ni kiumbe wa ajabu sana. We unadai nyongeza wakati kuna watu lukuki wenye vyeti vyao na usomi wao hawajawahi hata kuitwa usaili wowote hata wa kuosha maiti?

Tuhurumiane jamani. Hebu tuombe Mola awakumbuke hao ambao wanasota na vyeti halali bila kazi wala mtaji wa kuanzisha biashara
kweli wewe ni boya kabisa....sasa hao wanaosota nani anawatunza kama siyo walioajiriwa? hujui kama ukimminya muajiriwa unaathiri pia wale wategemezi wakiwemo wanaosotea kazi?
 
Mkuu kama wewe unafahamu, unaonaje ukaelewesha umma badala ya kumrudi huyo asiyejua?
GODZILLA,
If the president is ignorant of his responsibility to uphold the constitution and the laws emanating therefrom, i think he is irreparably and completely UNFIT to hold such office.

Anatarajia afundishwe na mimi GODZILLA?

Ananijua au angalau anajali hata uwepo wangu achilia mbali kujali ushauri nitakaompa?

Mimi? Just a random guy on internet!!

Get serious bwana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom